Penny: Siwezi kuvunja Ushoga wa Wema na Aunty

Penny: Siwezi kuvunja Ushoga wa Wema na Aunty

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MTANGAZAJI Bongo, Penniel Mungilwa ' Penny' amefunguka kuwa kamwe hawezi kuwagombanisha marafiki wa damu , Wema Sepetu ' Madam' na Aunt Ezekiel , baada ya yeye kuingilia urafiki huo .

Akizungumza na mwanahabari wetu, Penny alisema kuwa anaamini kabisa kuna baadhi ya watu hawapendi kuwa na urafiki zaidi ya watu watatu kitu ambacho siyo sahihi , yeye anaamini baada ya kupatana na Wema hivi karibuni ,

watakuwa marafiki watatu. Wema Sepetu akiwa na Aunty Ezekiel. "Nafurahi sana tunapokuwa na kampani kubwa nashangaa wengine mpaka wanafikia kupigana kisa akiona rafiki yake ana urafiki na mtu mwingine , mimi napenda tuwe wengi ili tuweze kushauriana mambo mbalimbali , " alisema Penny .
 
Attachments

  • 1417848377213.jpg
    1417848377213.jpg
    65.8 KB · Views: 924
peny acha unafiki ntaanza kukudiegrade sasa hv
 
Mama ubaya hajakoma tuu!!sasa ivi utasikia King kessy kanyakuliwa na kupotea kama upepo!!
 
Mama ubaya hajakoma tuu!!sasa ivi utasikia King kessy kanyakuliwa na kupotea kama upepo!!

Mhhhh...huyo king kessy mkalije sasa?Alitakiwa awe na kibinti kama meyninah sio bibi michirizi...
 
Penny hafananii kuwa mswahili hivi

Mwenzangu!Mimi mwanzo pia nilikua namheshimu wema kama mwanamke classic lakini tokea aende kwenye vigodoro na kucheza michiriku ya ndomo bhaasi tena. ...
 
He!yule naye ni bwabwa jamani?
I miss you warumi umeadimika hadi nimesahau umbea

Nimerud binamu , mbea nisiyekuwa na mpinzani, huyo king kessy asiyemjua nank mjin apa??
 
Last edited by a moderator:
wote wapuuzi mwanamke mtu mzima unatakiwa kujiamini.kuwa na marafiki wengi alafu kila mmoja na muda wake na wewe ukapatq muda wa kuwa mwenyewe.
Kutembea katika kundi kama nyumbu ndo nini watu wazima hovyoooo.ndo maana wanasema mnasagana hivi inakuwaje mnagandana mbona ata sisters amuwezi kuwa kama hawa.

Alafu mlisha share bwana ukaribu wa nini tena .samehe aneni but muwe pamoja siku maalum.kwahiy o siku Nasib akiwaita awakaze pamoja mtakwenda?

Alafu amna wazazi au ndugu maana mko kama mmekulia gheto.kwa kifupi mkafundwe vinginevyo ata mume amuwezi kupata maana hamna faragha?
 
Mmmmm hao ma bwabwa naona yanazidi kukicha,kuna mdada mmoja pia alisema yule chifu Kiumbe pia bwabwa alipokua nae alikua akala Vidole na mipete ile ya yule bwana duuu........... wanavyo chukua watoto wazuri kumbe si mali kitu...
 
Hao mapapaa wengi wao wanafanya hayo mambo kwa ajili ya ushirikina
 
heeeeeeeeeee wanakua mabwabwa kwa ajili ya pesa? sasa raha iko wapi? pesa unayo lakini raha huna?

Ndio hivyo, mapaa wengi hawana elimu, wanategemea madawa ya kulevya na ushirikina kupata mafanikio, masharti ndo hayo ya kugongwa nyuma au kutembea na wazazi wao
 
Ndio hivyo, mapaa wengi hawana elimu, wanategemea madawa ya kulevya na ushirikina kupata mafanikio, masharti ndo hayo ya kugongwa nyuma au kutembea na wazazi wao

Elimu kukosa ni janga ndo mana wanaendekeza ushirikina kuna mmoja maarufu sana amemfanya mamake mke kama masharti ili afanikiwe kwenye mambo yake inasikitisha sana hadi mama kisa mafanikio
 
Elimu kukosa ni janga ndo mana wanaendekeza ushirikina kuna mmoja maarufu sana amemfanya mamake mke kama masharti ili afanikiwe kwenye mambo yake inasikitisha sana hadi mama kisa mafanikio

Ni wasomi wachache sana utakaowakuta kwenye mabaa wakimwaga pesa ovyo kwa kujiita mapedeshee, ni wasomi wachache hivyo, watu walioelimika wanajua kuji behave na pesa, kwanza wanakuwa wamezitafuta kwa jasho so ni mwiko kuchezea, sasa hawa mapedeshee wanaouza madawa ya kulevya na kufanya ushirikina ndio wafanikiwe watapata wapi uchungu na pesa??
 
wote wapuuzi mwanamke mtu mzima unatakiwa kujiamini.kuwa na marafiki wengi alafu kila mmoja na muda wake na wewe ukapatq muda wa kuwa mwenyewe.
Kutembea katika kundi kama nyumbu ndo nini watu wazima hovyoooo.ndo maana wanasema mnasagana hivi inakuwaje mnagandana mbona ata sisters amuwezi kuwa kama hawa.

Alafu mlisha share bwana ukaribu wa nini tena .samehe aneni but muwe pamoja siku maalum.kwahiy o siku Nasib akiwaita awakaze pamoja mtakwenda?

Alafu amna wazazi au ndugu maana mko kama mmekulia gheto.kwa kifupi mkafundwe vinginevyo ata mume amuwezi kupata maana hamna faragha?

Hahhaaaaaa uwiiiii hawa ni zaidvya manyumbu we acha tu sie tuchek muvie litakavoisha, eti best friends????? My foot! Hizi bongo celebrity ush.u.z ni brainless kabisaa
 
Back
Top Bottom