warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
MTANGAZAJI Bongo, Penniel Mungilwa ' Penny' amefunguka kuwa kamwe hawezi kuwagombanisha marafiki wa damu , Wema Sepetu ' Madam' na Aunt Ezekiel , baada ya yeye kuingilia urafiki huo .
Akizungumza na mwanahabari wetu, Penny alisema kuwa anaamini kabisa kuna baadhi ya watu hawapendi kuwa na urafiki zaidi ya watu watatu kitu ambacho siyo sahihi , yeye anaamini baada ya kupatana na Wema hivi karibuni ,
watakuwa marafiki watatu. Wema Sepetu akiwa na Aunty Ezekiel. "Nafurahi sana tunapokuwa na kampani kubwa nashangaa wengine mpaka wanafikia kupigana kisa akiona rafiki yake ana urafiki na mtu mwingine , mimi napenda tuwe wengi ili tuweze kushauriana mambo mbalimbali , " alisema Penny .