Penny, Wema wamkejeli Diamond

Penny, Wema wamkejeli Diamond

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mastaa wawili hapa Bongo ambao huko nyuma walikuwa katika bifu kali, Wema Sepetu na Penny Mwingilwa wameonekana kumkejeli aliyekuwa mpenzi wao, Nasibu Abdul ' Diamond ' kwa kutumia neno Project. Mastaa hao walionekana wameweka picha yao wakiwa pamoja wamejilaza chini nyumbani kwa Wema na kuandika kuwa wakiwa katika ''Project'' yao neno ambalo lilitumiwa na Diamond akiwa na mwanadada Zarina Hassan ' Boss lady ' anayedaiwa kutoka kimapenzi na mwanamuziki huyo.

Gazeti hili lilifanikiwa kuzungumza na Penny kwa njia ya simu ambapo alisema kuwa siku hiyo walikutana na kuzungumza na rafiki yake huyo wa muda mrefu na mambo ya project yalitokea tu.

"Sisi tulimisiana sana na tulikutana na kuzungumza mambo mengi ya zamani, hiyo project iliingia tu " alisema Penny .
 
Attachments

  • 1415859997903.jpg
    1415859997903.jpg
    59.3 KB · Views: 2,300
warumi hivi hii habari ya domo kuachana na wema imethibitishwa? na TBS

au bado ni maneno tu ya kitaa ya kuuzia magazeti
 
Warumi nawe mpka nikilala nakuota cijui keshoo utkuja na umbeA gani ebu nope umbea Wa wema kumuacha domo kiss utakuwa umenifurahaisha kweli kwelu
 
Sasa kama madame ndo kaacha mbona kama ye ndo kaumia tena....mmh mapenzi kazi!!!!
 
urafiki wa mashaka huo

Wema hiyo ni mbinu anatumia ili diamond asitoke na penny....ila nahisi itakua kweli wameachana maana wema asingekubali kuwa na ushoga na penny...
 
Sasa kama madame ndo kaacha mbona kama ye ndo kaumia tena....mmh mapenzi kazi!!!!

unaweza acha kujifariji tu lakin ukweli ni kwamba ni kama ww ndo umeachwa, its like ilikua inakuja ila ukaona uhamishe tu ile phrase ya mm ndo nimekuacha, aliyemaucha mwenzake ni yule aliyeumia kidogo regardless nani alitamka maneno kwanza!!!
 
Wanaumiaaaa haoooooo na badoo
Kamuacha Domo lakini kaumiaaa
Na kwa zari hana la kuongea kimyaaa
Halaf huo urafiki ganii mlichukuliana mabwana mkachambana,, kusameheana ni vizuri lakini si kua karibu tena wangesameheana halaf kila mtu akawa kivyakeee sio hivyoo utasikia wanaibiana tena,wema hua ni msukule
 
Roho zinawauma tu, hawana lolote, tena wanaelekea kuwa mashangingi sasa.
 
unaweza acha kujifariji tu lakin ukweli ni kwamba ni kama ww ndo umeachwa, its like ilikua inakuja ila ukaona uhamishe tu ile phrase ya mm ndo nimekuacha, aliyemaucha mwenzake ni yule aliyeumia kidogo regardless nani alitamka maneno kwanza!!!

basi atakuwa alikuwa anabip kuacha anaonekana kuumia
 
kwani jamaa mjinga lile li bmw mama ubaya kalitoa wapi uko china na wapambe wale alioenda nao nani kasimamia shoo jamaa usimuone vile kaumizwa na mama ubaya sana tu
 
Wanaumiaaaa haoooooo na badoo
Kamuacha Domo lakini kaumiaaa
Na kwa zari hana la kuongea kimyaaa
Halaf huo urafiki ganii mlichukuliana mabwana mkachambana,, kusameheana ni vizuri lakini si kua karibu tena wangesameheana halaf kila mtu akawa kivyakeee sio hivyoo utasikia wanaibiana tena,wema hua ni msukule
mi ningekuwa domo ningewapeleka kitanda moja wote niwavuruge
 
Warumi nawe mpka nikilala nakuota cijui keshoo utkuja na umbeA gani ebu nope umbea Wa wema kumuacha domo kiss utakuwa umenifurahaisha kweli kwelu

KUNa thread mpya nimefungua, ndomo kwel hayupo na wema, kisa BMW
 
kwani jamaa mjinga lile li bmw mama ubaya kalitoa wapi uko china na wapambe wale alioenda nao nani kasimamia shoo jamaa usimuone vile kaumizwa na mama ubaya sana tu

hawajui tu diamond kashamfumaniga wema na mtu flani kwa hoteli akamwambia vaa twende home
mara ya kwanza walivyoachana
yaani hy sasa hivi inshort wema hajatulia kwa wengine anafata pesa kwa naseeb mpini
 
yani mshikaji hawa mademu noma sana fununu ile gari aliopewa na diamond ipo sokoni coz mshikaji amemwambia arudishe demu kaamua kuuza
 
Back
Top Bottom