warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Huyu ex best friend Wa wema sepetu pamoja na ex girlfriend Wa diamond siku hiz simsikii kabisa,hivi kapotelea wapi??
=========================
=========================
Hivi yule mwanadada aliyekuwa anatoka kimapenzi na diamond platnumz AKA chibu dangote au ukipenda muite SIMBA amepotelea wapi?
Mm binafsi nilianza kumjua baada ya kutoka na dai ila walipoachana tu nikaanza kumsahau
Mpaka sasa sijui yupo wapi wala simuoni kwenye magazeti kama ilivyokuwa hapo awali. Kwa lugha nyingine jina lake limeanza kufifia kwa kiasi kikubwa
Na natabiri ,kama ilivyo kwa penny pia hata kwa kiba itakuwa hivyo hivyo kama diamond ataacha kumjibu huyu jamaa
Na ushahidi upo wazi kabisa ,siku hizi tangu diamond aache kujibu shutuma za mlinganisho kati yake na kibakuli naona kibakuli haskiki kabisaaa