Penny yuko wapi?

Penny yuko wapi?

Kuna kipindi aliteka mitandao ya kijamii haswaaa
 
Acheni uongo mbona hajakosea kitu rudia Kusoma.Warumi yupo fit ninyi..yeye Ndo King of Celebrity forum Nyie mliokuja Na mbio za Mwenge humu kujifanya mnajuaaaa...
Ame edit ,alikosea kweli

Ume muonea tuu alo msahihisha
 
Hivi yule mwanadada aliyekuwa anatoka kimapenzi na diamond platnumz AKA chibu dangote au ukipenda muite SIMBA amepotelea wapi?
Mm binafsi nilianza kumjua baada ya kutoka na dai ila walipoachana tu nikaanza kumsahau

Mpaka sasa sijui yupo wapi wala simuoni kwenye magazeti kama ilivyokuwa hapo awali. Kwa lugha nyingine jina lake limeanza kufifia kwa kiasi kikubwa
Na natabiri ,kama ilivyo kwa penny pia hata kwa kiba itakuwa hivyo hivyo kama diamond ataacha kumjibu huyu jamaa

Na ushahidi upo wazi kabisa ,siku hizi tangu diamond aache kujibu shutuma za mlinganisho kati yake na kibakuli naona kibakuli haskiki kabisaaa
 
Yupo instagram kwenye page yake.kwa jina hilo hilo
 
Mhh, ni kweli amepotea sana. Yawezekana utu uzima ushamnyemelea na ameacha kutafuta umaarufu usiokuwa na maana
 
Nadhani ameona umaarufu ni zigo la mawe, unaishi kwa matakwa ya watu na sio matakwa yako. wema mwenyewe naona ameamua kujipumzisha kwa mda.
 
Penny huwa sio mtu wa magazeti kabisa, ni kipindi kile tu anadate na diamond ndo tukawa tunamuona sana udakuni, but she is back to her old self. Now namuona na Salma Msangi ndani ya Africa Magic Bongo na kipindi chao kizuri kabisaaa "Harusi Yetu"
 
Nadhani ameona umaarufu ni zigo la mawe, unaishi kwa matakwa ya watu na sio matakwa yako. wema mwenyewe naona ameamua kujipumzisha kwa mda.
diamond ndio alikuwa anawapa majina hao wote

Wameachana na diamond wamefifia
 
Ali anatamba mjini anapiga show Ulaya enzi hizo baba ako Dimond anaosha vyombo studio kwa bob Junior.

Siku nyingine ukirudia tena kumfananisha Ali na vitu vya kijinga jinga ndio utanijua mimi ni nani.mashavu yako.
 
Huwa namuona kwenye igizo flani hivi katika Maisha Magic kama sijakosea
 
Ali anatamba mjini anapiga show Ulaya enzi hizo baba ako Dimond anaosha vyombo studio kwa bob Junior.

Siku nyingine ukirudia tena kumfananisha Ali na vitu vya kijinga jinga ndio utanijua mimi ni nani.mashavu yako.
Ww ni kidoti unataka tukujueje zaidi?
 
Back
Top Bottom