DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Bajeti ya Serikali mwaka 2025/2026 imetangaza neema ya kuongezwa kwa pensheni wanaolipwa na hazina kwa asilimia 150.
Akiwasilisha bungeni bajeti ya mwaka husika leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema hatua inatokana na Serikali ya Awamu ya Sita inatambua umuhimu na mchango mkubwa wa wastaafu katika ujenzi wa Taifa.
“Kwa kuzingatia hilo, katika mwaka 2025/26, Serikali itaongeza kima cha chini cha pensheni ya kila mwezi kwa wastaafu wanaolipwa na Hazina kutoka Sh100,125.9 hadi Sh250,125.9, sawa na ongezeko la asilimia 149.8 na utekelezaji wake utaanza katika pensheni ya Julai 2025,”