Pentagon imekubali kuwa hawana siri tena iliyobaki

Siri zenyewe ziko wapi?
Moja ni hiyo ya Misri kutaka kupeleka Urusi makombora kuisaidia Urusi. Nyengine namba za maafa kwa upande wa Urusi ni za kutunga. Na kwamba Ukraine kaishiwa silaha na anapoomba ananyimwa kwani na wao pia wameishiwa wanahofia kumpatia kama anavyodai,Hebu anza kujadili hizo kwanza.
 
Watu wamehamia Ufilipino huko wanapiga zoezi la kufa mtu, China ajuta kuizunguka Taiwan kwa siku 3, amejikuta akizingirwa yeye kupitia Ufilipino
 
Too good to be true..hata ktk vita kuna "decoy" au kimtaa tunaita bortion.
 
Hbari hizi zina trend kwenye media mbalimbali za kimataifa! Kwa kweli Marekani amevuliwa nguo kwa mara ya nyingine.
 
Hbari hizi zina trend kwenye media mbalimbali za kimataifa! Kwa kweli Marekani amevuliwa nguo kwa mara ya nyingine.
Mtu mzima akivuliwa nguo au nguo zikimdondoka hadharani huwa tunasema ni uchimvi.
Masaini ya makamanda na wakuu mbali mbali ni aibu kuanikwa mtandaoni.
 
ami J weka siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…