Pentagon kumechafuka.Makundi na visasi vimetanda.Pete aendelea kulindwa hata baada ya kuwarushia mkewe na nduguye siri za kivita

Pentagon kumechafuka.Makundi na visasi vimetanda.Pete aendelea kulindwa hata baada ya kuwarushia mkewe na nduguye siri za kivita

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Baada ya sakata la mkuu wa Pentagon Pete Hegeseth kuhusika kumuingiza mwandishi wa habari kwenye kundi la siri za kivita. kwa mara nyengine amewarushia mkewe na nduguye siri za wizara hiyo.

Pamoja na hivyo raisi Donald Trump ameendelea kumlinda waziri wake huyo kupelekea wito wa kutaka amuondoe haraka huku visasi ndani ya majengo hayo vikiongezeka na kupunguza ufanisi wa wizara hiyo nyeti kwa ulinzi wa Marekani.

Habari za machafuko ndani ya wizara hiyo zilianza kutolewa wiki mbili zilizopita wakati mmoja wa maafisa wake alipojiuzulu akiona asingeweza kuendelea kufanya kazi katika mazingira hayo.

The vicious rivalries tearing apart Pete Hegseth’s Pentagon​

Ameanza kuchanganyikiwa.Atakuwa raisi wa mwanzo kupata wazimu akiwa ofisini White House
1745421805648.png
 
Hatari rohoo za vitoto vichanga kutoka Palestina vitamchagiza sana.
 
watu wanahitaji kumpiga Putin yeye analeta umalaya wake na putin
 
Vingapi? Na hata picha huna.
Angalia maelfu kama huyo hapo chini
View attachment 3313877
Mbona hapo yupo mmoja hayo maelfu wapo wapi?...Kwanza huyo mmama anaonekana hayupo uwanja WA vita mbona amedamshi sana
Halafu badilisha picha nyingine hii uipumzishe kidogo maana kila Uzi unazungumzia maelfu wanauwawa halafu unasindikizia na haka kapicha.
 
Wengine hawa hapa na wako kwa maelfu na wengine chini ya vifusi hawatapatikana tena.Wewe huna hata mmoja.
1745477615519.png
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    49.3 KB · Views: 26
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    61.1 KB · Views: 24
Back
Top Bottom