Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Nimkumbuka B-52 zilivyopigiwa chapuo kule Vietnam, matokeo yake zilipigwa B-52 zipatazo 31.Wapige wapi na hizo ndege Iran? Hizo zinatakiwa zikagonge Moscow....Tehran zitazamisha mji kabisa
Kobaz wako mkuu ameshawahishwa kula bikra, nyie dagaa Endeleeni kupiga domo mana Ndo kawaida yenuNimkumbuka B-52 zilivyopigiwa chapuo kule Vietnam, matokeo yake zilipigwa B-52 zipatazo 31.
Hii vita ya propaganda za kipuuzi Trump anafanya itawa cost...
B-52 hazitobadili chochote kwenye hii vita..
Kumuua mzee wa miak 86 ni sawa na kurusha bomu mochwari , halafu unajisifu umeua..Kobaz wako mkuu ameshawahishwa kula bikra, nyie dagaa Endeleeni kupiga domo mana Ndo kawaida yenu
Yale manowari makubwa kama mtaa yamefanya kitu gani hadi sasa, zilienda kwa mikwara, na hizo b-2 zitakuwa ze comedy tu...Hakuna nchi ya kuitisha wala kuipiga ardhi ya USA, hizo B-2 zitakuwa halali yake.
Zimeenda kwa mikwara na comedy kwahy kobaz mwenzako hajauliwa?Yale manowari makubwa kama mtaa yamefanya kitu gani hadi sasa, zilienda kwa mikwara, na hizo b-2 zitakuwa ze comedy tu...
Ayatollah hakuchukua precaution yeyote alishambuliwa akiwa na familia yake nyumbani si chini ya shimo.Zimeenda kwa mikwara na comedy kwahy kobaz mwenzako hajauliwa?
Kobaz nyie halali yenu n midomo tuu, kila saa mnabadili story.
Kabla hajafa mlikuja na ngonjera hawezi kuuliwa, Sasa hv mnakuja na ngonjera ety tumepiga bomu mochwari 😂
Kubishana na ww n sawa na kutafuna mawe 🗑️
B 52 ni za enzi ya Vietnam, ni B -2 spirit zinaongelewa. Ni ndege so advanced hakuna nchi imeweza kucopy kutengeneza na inauwezo mkubwa kipita kiasi wa kufanya uharibifu mkubwa. Ukiona wanataka kutumia ujue kuna kobazi wamejificha ardhini chini mita 100 kwenye milima au mahandaki ya makombora na drone au vinu vya nuklia vya Iran. na hamna ndege inayoweza kuingia kwenye anga ya adui na kutoka bila kujulikana yenye uwezo wa kubeba makombora mazito kama GBU 57( tani 13) yenye uwezo wa kuwafata kobazi hadi mita 100 chini ya ardhi zaidi ya b-2 bomber na b-21 raiderNimkumbuka B-52 zilivyopigiwa chapuo kule Vietnam, matokeo yake zilipigwa B-52 zipatazo 31.
Hii vita ya propaganda za kipuuzi Trump anafanya itawa cost...
B-52 hazitobadili chochote kwenye hii vita..
B-52 zilitisha kama B-2 hivi sasa kiongozi..B 52 ni za enzi ya Vietnam, ni B -2 spirit zinaongelewa. Ni ndege so advanced hakuna nchi imeweza kucopy kutengeneza na inauwezo mkubwa kipita kiasi wa kufanya uharibifu mkubwa. Ukiona wanataka kutumia ujue kuna kobazi wamejificha ardhini chini mita 100 kwenye milima au mahandaki ya makombora na drone au vinu vya nuklia vya Iran. na hamna ndege inayoweza kuingia kwenye anga ya adui na kutoka bila kujulikana yenye uwezo wa kubeba makombora mazito kama GBU 57( tani 13) yenye uwezo wa kuwafata kobazi hadi mita 100 chini ya ardhi zaidi ya b-2 bomber na b-21 raider
View: https://www.youtube.com/watch?v=cbU3WIXJBw8
Ndege za kivita za B-2 Stealth ziko tayari kwa operesheni ya Midnight Hammer
Kamanda yupo Live
Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inafanya mkutano wa dharura na waandishi wa habari muda huu kufuatia taarifa zinazoenea kuwa kikosi cha ndege za kivita za kujificha za B-2 Spirit za Jeshi la Anga la Marekani kimewekwa katika hali ya tahadhari ya juu, jambo linalochochea uvumi kuhusu uwezekano wa operesheni ya kijeshi iitwayo “Midnight Hammer 2.0.”
Maafisa wakuu wa ulinzi wanazungumzia hali ya utayari wa kijeshi wa taifa na kujibu maswali kuhusu vitisho vinavyoweza kuathiri usalama wa taifa chini ya uongozi wa Donald Trump.
Mkutano huo usiokuwa na ratiba maalum umeongeza taharuki duniani huku washirika na wapinzani wa Marekani wakisubiri ufafanuzi kuhusu mwelekeo wa kimkakati wa jeshi la Marekani na athari za kuhamasisha mabomu ya masafa marefu ya kisasa zaidi ya taifa hilo.
B 52 ina heshima yake kubwa sana kiongozi, japo ilikua ina mapungufu yaliyoifanya istaafishwe mapema. Kwanza li Boeing likibwa kuwezi kulificha kwenye macho ya watu na huwez kuificha kwenye rada kali za kirusi na kichina, pili haikua na uwezo wa kufanya misheni mfano kutoka marekani hadi Iran na kurudi marekani bila kuishiwa mafuta, 3 ilikua haina uwezo wa kupaa juu sana. Kuadress hizo changamoto zake kwakatengeneza b-2 spirit kama mrithi ambaye hana hayo mapungufu. B-2 spirit imekua na teknolojia ya siri sana kiasi kwamba bunge lilipiga marufuku kuuzwa hata kwa washirika wa karibu wa Marekani kama Israeli, UK, au Nato. Ila teknolojia ya rada na jamming imekua sana kwa china na Russia na b 2 spirit moja ni kama trillion 5 za kitanzania($2B), so US ikaona ianze mapema kutengeneza mrithi wake ambaye ndio b 21 raiderB-52 zilitisha kama B-2 hivi sasa kiongozi..
Kiongozi unaelewa maana ya kwa kipindi hiko..B 52 ina heshima yake kubwa sana kiongozi, japo ilikua ina mapungufu yaliyoifanya istaafishwe mapema. Kwanza li Boeing likibwa kuwezi kulificha kwenye macho ya watu na huwez kuificha kwenye rada kali za kirusi na kichina, pili haikua na uwezo wa kufanya misheni mfano kutoka marekani hadi Iran na kurudi marekani bila kuishiwa mafuta, 3 ilikua haina uwezo wa kupaa juu sana. Kuadress hizo changamoto zake kwakatengeneza b-2 spirit kama mrithi ambaye hana hayo mapungufu. B-2 spirit imekua na teknolojia ya siri sana kiasi kwamba bunge lilipiga marufuku kuuzwa hata kwa washirika wa karibu wa Marekani kama Israeli, UK, au Nato. Ila teknolojia ya rada na jamming imekua sana kwa china na Russia na b 2 spirit moja ni kama trillion 5 za kitanzania($2B), so US ikaona ianze mapema kutengeneza mrithi wake ambaye ndio b 21 raider
Nyingine inaweza kuwa kwamba watu wako proud au attached na US.Nakupa mfano ,kuna jamaa yangu yupo JW sijui alienda misheni gani akapewa lile gwanda la US basi kila wakati unitumia zile picha akiwa na gwanda la US lakini hakuna siku kanitumia picha na gwanda la JW.Angalia waarabu dream place zao kukimbilia ikitokea noma au shida ni US.Kitu ambacho Marekani na Israel wamekiweza vyema na Ipasanyo ni kuwa na machawa wao kwenye mifumo ya serikali nyingi sana hapa duniani hata ukiangalia hili la Ayatollah kupigwa pale inaonekana. Jamaa walikuwa na taarifa sahihi kuwa mwamba yupo pale na wala syo kubahatisha wakawasha vyuma.Ila kama ingekuwa Israel Hana watu pale Iran angepata tabu sana
Umekuwa kama yule msemaji wa Sadam, Al Sahaf.😀😀Kumuua mzee wa miak 86 ni sawa na kurusha bomu mochwari , halafu unajisifu umeua..
Tel Aviv yote inanuka mavi, Iran wamepiga facility ya kusafisha maji taka..
Tel Aviv inapigwa kwa nguvu toka taifa la Israel liwepo.. endeleeeni kujidanganya..