Pentagon: Ndege za kivita za B-2 Stealth ziko tayari kwa operesheni ya Midnight Hammer

Yaani Kwa akili yako huoni Hilo ni tatizo? Yaani Leo Putin au xi auwawe kipindi cha vita bado utanaona sawa tu! Hivi haya Mahaba huwa mnayatoa wapi mtusanue tuwapende wake zetu hivi 🤣🤣 aking'olewa jicho nione ni chongo
Sasa unataka nilie? baada ya Ayatollah kuuawa?
Ndio maana nakuuliza kuuawa kwa Khamenei kumeipa ushindi Israel? huoni Tel Aviv watu wanavyozikwa na vifusi huko?

Iran ina muundo tofauti wa kiuongozi, usitegemee kwamba Ayatollaha kafa na vita inasimama..
 
Iran wakupe usemaji wa Ikulu, unafaa sana mzee wangu
 
Nimkumbuka B-52 zilivyopigiwa chapuo kule Vietnam, matokeo yake zilipigwa B-52 zipatazo 31.

Hii vita ya propaganda za kipuuzi Trump anafanya itawa cost...

B-2 hazitobadili chochote kwenye hii vita..
Screenshot_2026-03-01-14-44-13-910_com.android.chrome~2.jpg
Screenshot_2026-03-01-14-10-52-451_com.twitter.android~2.jpg
 
Wapige wapi na hizo ndege Iran? Hizo zinatakiwa zikagonge Moscow....Tehran zitazamisha mji kabisa
Mzee Trump ni hatabiriki kabisa au usikute anataka kupiga Moscow kabisa Kwa kushitukiza.Huo msuri anaotunisha ni kwa ajili ya Iran tu kweli?!Ayotulla ALI si anaombolezwa..! Kingine Nini?
 
Sasa unataka nilie? baada ya Ayatollah kuuawa?
Ndio maana nakuuliza kuuawa kwa Khamenei kumeipa ushindi Israel? huoni Tel Aviv watu wanavyozikwa na vifusi huko?

Iran ina muundo tofauti wa kiuongozi, usitegemee kwamba Ayatollaha kafa na vita inasimama..
Unadhani wewe upo hapo kazuramimba unajua zaidi muundo wa Iran kuliko Mosad na CIA? Unadhani hawakupiga hesabu nini kitatokea akiuwawa kiongozi mkuu? Halafu aliyekwambia vita imeisha ni nani? Wenzako ndo wanaanza na vifurushi vipya ...ndani ya hizi siku mbili utasikia kitu
 
Kiongozi unaelewa maana ya kwa kipindi hiko..

Kwa wakati huo ilikuwa ndege tishio, yenye tech za kisasa za wakati huo..

JInsi teknolojia ya vifaa vya kushambulia inavyoongezeka ndivyo jinsi pia vifaa vya kujilinda vinakuzwa pia kiteknolojia.

Hivyo usije kushangaa hizo B-2 kulengwa, unless wafanye stand off strike..

Tunachozungumzia hapa ni kama enzi za Nokia N97, ilikuwa simu ya kisasa na ghali kwa wakati wake sababu teknolojia ndipo ilikuwa imefikia kwenye simu. Huwezi kuanza linganisha uwezo wa iPhone 17 na N97 ukaanza kusema N97 si chochote, kumbuka wakati wake N97 ilikuwa simu ya kifahari wanaoutumia wenye uwezo.
Yani ni sawa, ila ukisikia US au Israeli inatumia ndege za F22 raptor au F35 ujue zinataka kuingia kwnye anga la adui bila kujulikana na radar, hizo ndege ni special kwa ajili ya kudeal na radar za kisasa na zinaweza kuingia na kutoka bila kujua nini kinaendelea. Hamna ndege nyingine itaingia bila hizo ndege kumaliza kufanya suppression of air defences. Mfano F22 na f35 zinaweza kujificha kwenye anga la adui na kufake signal radar ikazisoma kama kombora na radar ikitaka kulenga inapotea kwenye radar, hii inafanya radi zilizojificha zionekane kirahis na hizi ndege na kuharibiwa.
Wakishamaliza asilimia kubwa ya radar ndio hapo ndege nyingine zinazoweza kubeba makombora mazito zinaingia zikijua ziko salama mfano f15 eagle nk na b2 spirit bomber(b2 spirit inaweza kufanya pia kama f22 na f35 ila inathamani kubwa sana na jeshi linaona hamna haja ya kurisk) .
Lolote linawezekana kwa sababu vita ni plan...ila Israeli imeshatangaza kwamba inamiliki anga la tehran mchana huu...maana ake wanaweza kufanya chochote bila kuhofia kutunguliwa
 
View: https://www.youtube.com/watch?v=cbU3WIXJBw8

Ndege za kivita za B-2 Stealth ziko tayari kwa operesheni ya Midnight Hammer

Kamanda yupo Live

Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inafanya mkutano wa dharura na waandishi wa habari muda huu kufuatia taarifa zinazoenea kuwa kikosi cha ndege za kivita za kujificha za B-2 Spirit za Jeshi la Anga la Marekani kimewekwa katika hali ya tahadhari ya juu, jambo linalochochea uvumi kuhusu uwezekano wa operesheni ya kijeshi iitwayo “Midnight Hammer 2.0.”

Maafisa wakuu wa ulinzi wanazungumzia hali ya utayari wa kijeshi wa taifa na kujibu maswali kuhusu vitisho vinavyoweza kuathiri usalama wa taifa chini ya uongozi wa Donald Trump.

Mkutano huo usiokuwa na ratiba maalum umeongeza taharuki duniani huku washirika na wapinzani wa Marekani wakisubiri ufafanuzi kuhusu mwelekeo wa kimkakati wa jeshi la Marekani na athari za kuhamasisha mabomu ya masafa marefu ya kisasa zaidi ya taifa hilo.

Unataka kumpiga adui unampa taarifa kwanza?
 
Yani ni sawa, ila ukisikia US au Israeli inatumia ndege za F22 raptor au F35 ujue zinataka kuingia kwnye anga la adui bila kujulikana na radar, hizo ndege ni special kwa ajili ya kudeal na radar za kisasa na zinaweza kuingia na kutoka bila kujua nini kinaendelea. Hamna ndege nyingine itaingia bila hizo ndege kumaliza kufanya suppression of air defences. Mfano F22 na f35 zinaweza kujificha kwenye anga la adui na kufake signal radar ikazisoma kama kombora na radar ikitaka kulenga inapotea kwenye radar, hii inafanya radi zilizojificha zionekane kirahis na hizi ndege na kuharibiwa.
Wakishamaliza asilimia kubwa ya radar ndio hapo ndege nyingine zinazoweza kubeba makombora mazito zinaingia zikijua ziko salama mfano f15 eagle nk na b2 spirit bomber(b2 spirit inaweza kufanya pia kama f22 na f35 ila inathamani kubwa sana na jeshi linaona hamna haja ya kurisk) .
Lolote linawezekana kwa sababu vita ni plan...ila Israeli imeshatangaza kwamba inamiliki anga la tehran mchana huu...maana ake wanaweza kufanya chochote bila kuhofia kutunguliwa

Anti aircraft zipo za begani au MANPAD, zipo pia kwenye magari, hizo ni movable, zinahama mara kwa mara... ni ngumu sana kuzi target maana hazikai sehemumoja.

Iran ina launchers chini ya ardhi, juu kuna kifuniko, wakitaka kurusha missile, inatokea underground chini... missile ikisharuka mlango unajifunga...

Ingekuwa rahisi hivyo kupiga launchers za air defense basi Iran hivi sasa isingekuwa na uwezo wa kuishambulia tena Israel...

Kuhusu uwezo wa hizo ndege za F-35 ni kauli za kibiashara zaidi na propaganda kuliko uhalisia wa uwezo wake... ku confuse radar 100% ni kitu kigumu sana... S-125 ilishawahi kulenga ndege ya US ambayo ilikuwa stealth 1990s.

Hivyo hizo ndege uwezo wake ni nadharia zaidi..
 
Mzee Trump ni hatabiriki kabisa au usikute anataka kupiga Moscow kabisa Kwa kushitukiza.Huo msuri anaotunisha ni kwa ajili ya Iran tu kweli?!Ayotulla ALI si anaombolezwa..! Kingine Nini?
Ipo siku watu watagundua US na Russia ni nyoka mmoja mwenye vichwa vya rangi tofauti ndio hawataamini...Putin hajawah kuwa adui wa Marekani na kila raisi wa Marekani anajua hilo...ila akiwa rafiki kama Israeli hawataweza kuchezea dunia cheusi chekundu
 
Anti aircraft zipo za begani au MANPAD, zipo pia kwenye magari, hizo ni movable, zinahama mara kwa mara... ni ngumu sana kuzi target maana hazikai sehemumoja.

Iran ina launchers chini ya ardhi, juu kuna kifuniko, wakitaka kurusha missile, inatokea underground chini... missile ikisharuka mlango unajifunga...

Ingekuwa rahisi hivyo kupiga launchers za air defense basi Iran hivi sasa isingekuwa na uwezo wa kuishambulia tena Israel...

Kuhusu uwezo wa hizo ndege za F-35 ni kauli za kibiashara zaidi na propaganda kuliko uhalisia wa uwezo wake... ku confuse radar 100% ni kitu kigumu sana... S-125 ilishawahi kulenga ndege ya US ambayo ilikuwa stealth 1990s.

Hivyo hizo ndege uwezo wake ni nadharia zaidi..
Ma

Unaweza kusema ni kibiashara ila kila nchi nato inanunua, hadi uturuki iliyoona kama wewe mwanzoni...Hakuna nchi ambayo ilikua na mzuri wa anga ambayo Israeli hajafanya yake kama kwake mashariki ya kati na man pad unazoongea nazina uwezo wa kushambulia high altitude aircraft wala hazina radar guidance ni 0% chance dhidi ya b2 utaidhia kupiga helcopter tu
 
Iran kazi wanayo,hata maiti za Maboss zitakusanywa saa ngapi, maana ni bandika bandua
 
Unataka kumpiga adui unampa taarifa kwanza?
Kama unajua unajua,
maana hizo ni silaha nzito sana na ukitumia dunia lazima ikuone unavuka mipaka ya adhabu, ndio maana Russia inashambulia Ukraine ila ikitaka kutumia makombora ya Oreshnik lazima iseme kabla au baada na kujustify kwanini walifikia hapo
 
Yani ni sawa, ila ukisikia US au Israeli inatumia ndege za F22 raptor au F35 ujue zinataka kuingia kwnye anga la adui bila kujulikana na radar, hizo ndege ni special kwa ajili ya kudeal na radar za kisasa na zinaweza kuingia na kutoka bila kujua nini kinaendelea. Hamna ndege nyingine itaingia bila hizo ndege kumaliza kufanya suppression of air defences. Mfano F22 na f35 zinaweza kujificha kwenye anga la adui na kufake signal radar ikazisoma kama kombora na radar ikitaka kulenga inapotea kwenye radar, hii inafanya radi zilizojificha zionekane kirahis na hizi ndege na kuharibiwa.
Wakishamaliza asilimia kubwa ya radar ndio hapo ndege nyingine zinazoweza kubeba makombora mazito zinaingia zikijua ziko salama mfano f15 eagle nk na b2 spirit bomber(b2 spirit inaweza kufanya pia kama f22 na f35 ila inathamani kubwa sana na jeshi linaona hamna haja ya kurisk) .
Lolote linawezekana kwa sababu vita ni plan...ila Israeli imeshatangaza kwamba inamiliki anga la tehran mchana huu...maana ake wanaweza kufanya chochote bila kuhofia kutunguliwa
Shukrani
Im learning....

Badae nirazama google pia
 
Sasa unataka nilie? baada ya Ayatollah kuuawa?
Ndio maana nakuuliza kuuawa kwa Khamenei kumeipa ushindi Israel? huoni Tel Aviv watu wanavyozikwa na vifusi huko?

Iran ina muundo tofauti wa kiuongozi, usitegemee kwamba Ayatollaha kafa na vita inasimama..
Sasa vita unataka washinde kwa siku moja vita inaendelea wanashambuliana tusubiri tuone nani ataumia zaidi
 
Back
Top Bottom