Pentagon yakiri mfumo wao wa ulinzi huko Ukraine ulitungua Kinzhal, wachambuzi wakataa kuwa ile sio kinzal ila BETAB-500

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Uenda ikawa kashfa mbaya kwa Pentagon kushindwa kuyatambua makombola ya Urusi, hii inajiri mara baada ya msemaji pentagon kusema ni kweli mfumo wao wa ulinzi wa Patriot ulilitungua kombola la urusi aina ya Kinzjal huko nchini Ukraine.

Wachambuzi wa makombola walianza kulitilia mashakha aina ya mabaki ya kombola lililo kaonyeshwa na Mayer wa Jiji la Kiev akiedai ndiyo kombala la Kinzhal huku picha zake zikiwa tofauti kimuundo na kombola la Kinzal.

Makombola hayo ya Kinzhal yamejizolea umaarufu huku Urusi ikijinadi kuwa hayawezi kuangushwa na mfumo wowote wa anga hapa Duniani kwani lina kombola ilo lina speed X10 ya saut!

Yamkini ikaleta picha mbaya kwa jeshi la Marekan makamanda wake kuoneka wakisema uongo au kutokujua utofuti wa makombola hayo

Ingekuwa ni uongo kwamba halijadunguliwa basi Russia wangerusha mengine lakini ukimya wao pia ni jibu tosha kwamba lisemwalo lipo.
Unahisi kwanini wameshindwa kuweka picha vyombo vya habari vikubwa vyote? Msemaje wa Pentagon mwenyewe alikwepa kudadavua alipoulizwa kuhusu uo mkanganyiko
 
Unahisi kwanini wameshindwa kuweka picha vyombo vya habari vikubwa vyote? Msemaje wa Pentagon mwenyewe alikwepa kudadavua alipoulizwa kuhusu uo mkanganyiko
Nenda CNN Marekani amesema makombora haya hayazuiriki. Mada ifungwe.
 
Unahisi kwanini wameshindwa kuweka picha vyombo vya habari vikubwa vyote? Msemaje wa Pentagon mwenyewe alikwepa kudadavua alipoulizwa kuhusu uo mkanganyiko
Kwani ishu ya osama mpaka leo hakuna picha bado huamini tu kaza fuvu eboo
 
Ingekuwa ni uongo kwamba halijadunguliwa basi Russia wangerusha mengine lakini ukimya wao pia ni jibu tosha kwamba lisemwalo lipo.
Kwahiyo siku wakirusha lingine ndio utaamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…