Penye kusifia tusifie, hongera TANESCO

Penye kusifia tusifie, hongera TANESCO

Tanesco overall performance yao imepanda Sana hata Customer services yao imo Vizuri Sana utadhani sio Kampuni ya Serikali,

Kongole kwa Mkurugenzi mtendaji na team yako kwa huduma nzuri kabisa
 
Hapa unaongelea mita mpya na sio kile kifaa cha kutenga matumizi ya umeme katika mita moja ambacho hufungwa zaidi katika nyumba zenye mpangaji zaidi ya mmoja?
Ndio, ni mita mpya na ndo maana atakuja surveyor kufanya tathmini na baada ya hapo kujua gharama za wewe kulipa kupitia control namba. ^NM.
 
Hapa unaongelea mita mpya na sio kile kifaa cha kutenga matumizi ya umeme katika mita moja ambacho hufungwa zaidi katika nyumba zenye mpangaji zaidi ya mmoja?
Ndio, ni meter mpya kama ulivyoulizia.
 
Serikali si itapandisha Kodi na ushuru bandarini na uigizaji na ununuzi wake uwe ghali sana ili tuendelee na Tanesko Yao kwenye shida na Raha??
Nawashauri watanzania kuwekeza kwenye solar panel na battery for storage, tuna jua la kufa mtu, vifaa china vimeshuka sana bei na jua is free
 
Serikali si itapandisha Kodi na ushuru bandarini na uigizaji na ununuzi wake uwe ghali sana ili tuendelee na Tanesko Yao kwenye shida na Raha??
Hawana umeme wa kutosha, tatizo sio wateja, serikali itashukuru sana wananchi wakizalisha umeme wao, ndio maana vifaa vya solar au magari ya umeme ushuru wameweka chini sana
 
Back
Top Bottom