Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida bwana Johannes aliipigiwa cm na rafiki yake wa kike aje kujumuika katika sherehe yake.
Lakini alipofika alikuta ni sherehe ya wadada watatu tuu ambapo yeye ndiye alikuwa mwanaume pekee, watatu hao walimlazimisha kuanza kula vyakula ambavyo vimepambwa katika mwili wa mmoja wapo ndipo sherehe ilipoanza kugeuka karaha kwa bwana Johannes ambaye alibakwa na hao wanawake 3 hadi kupelekea kulazwa hospitali.
Kwa sasa wanawake hao 3 wanashikiliwa na jeshi la polisi huko malawi kwa uchunguzi zaidi!