Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Hivi mwanaume unabakwaje na wadada? Dushe inasimama vipi ktk hali ya kugombana au kwenye uwepo wa wanawake watatu kwa mmoja halafu hadharani sio kizani? Huyu alitumia dawa akataka awatafune wote akakojoa povu mwisho damu, tamaa za fisi