Penzi la Anko

Penzi la Anko

Ambakucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
317
Reaction score
520
PENZI LA ANKO-1

"We Doreen," mama aliniita kwa sauti ya ukali.

Sikutegemea kumkuta yuko macho muda huo japokuwa alikuwa chumbani kwake. Ilikuwa saa nne usiku.

Kwa kawaida mama ikishafika saa mbili usiku, siku nyingi yupo kitandani anaota ndoto anazozijua mwenyewe.

"Abee mama," niliitika huku nikitega sikio kusikia kichambo changu.

"Unatoka wapi?"

"Natoka kwenye bathidei ya Eliza mama."

"Ulimuaga nani?"

Yaani mama angu mimi hajawahi kuwa na maneno au maswali ya kufafanua sana. Ni shoti shoti tu.

Angekuwa mama 'ako wewe si ajabu angekuuliza; unatoka wapi saa hizi? Au angeuliza ulimuaga nani wakati unaondoka kwamba unakwenda kwenye bathidei?

"Sikumuaga mtu mama," nilimjibu.

"Hongera sana kwa sababu humu ndani sasa ma mama tuko wawili."

"Hapana mama."

"Na huyo Eliza ulimfanyia bethidei bila yeye mwenyewe kuwepo?"

"Alikuwepo mama. Si ndiyo mwenye bathidei, kwa nini asiwepo?"

"Sasa mbona ametoka hapa kukuulizia muda si mrefu? Na akasema anakwenda msibani Kijiji cha Mgandini!"

Uso ulinishuka mwenzenu. Mashavu yalienda chini kama ninaye kunywa maji ya mti wa mwarobaini.

Ukweli ni kwamba, sikwenda kwenye bathidei wala harusini bali nilikuwa kwa boifrendi wangu, Tom.

Tom ni mvulana tuliyependana sana ila tatizo moja alikuwa anataka kunitoa usichana wangu. Na mimi nilikuwa sikubali. Nilishajiwekea malengo kwamba, mwanaume atakayenioa ndiye atakayenitoa usichana wangu.

Sasa siku hiyo nilikuwa geto kwa Tom tukikukurushana. Yeye anataka, mimi sitaki. Alifikia hatua akafunga mlango na kuchomoa funguo akidai nimpe kwanza anitoe usichana ndipo aniachie nirudi nyumbani. Lakini sikukubali. Nilibana miguu.

**************

Kwa hiyo, nilikosa jibu la kumpa mama. Lazima alijua nimetoka kwa wavulana na wameshanivua sketi.

"Hiyo tabia yako uliyoianza Doreen iko siku utabeba mimba isiyokuwa na baba hapahapa nyumbani. Kwa hiyo jiandae na mahali pa kwenda kukaa," mama alinipa picha ya baadaye mapema ili nijue. Nisije nikamlaumu.

"Mama siwezi kupata mimba mimi," nilimjibu.

"Kwa sababu wewe ni mkamilifu sana?"

******************

Kifupi mama hakujua kama sipo chumbani kwangu. Ila alipokuja Eliza kuniulizia ndo ikajulikana kuwa, yaliyomo yamo hata kama hayana mdomo.

Kwa hiyo baada ya Eliza kuondoka, muda wote alikuwa macho akinisubiri nirudi ili anipake rangi ninayoistahili.

******************

Baada ya wiki moja tangu kutokea kwa tukio lile, siku hiyo mama aliniambia natakiwa kuja Dar es Salaam kwa ajili ya kusoma sekondari ya binafsi.

Alisema Dar nitapokelewa na anko Jailos na nitaishi nyumbani kwake. Nilijua mama alichukua uamuzi huo baada ya kuamini matendo yangu yamekuwa ya hovyo pale kijijini. Akajua nitaharibikiwa na mimba juu nikiwa nyumbani.

"Mama umeongea naye lakini huyo anko Jailos?"

"Unadhani nakurupuka kama wewe?"

"Sawa mama. Nitakwenda."

"Ujiandae. Sitaki visingizio."

"Sawa mama."

"Na ukienda sitaki kukuona umerudi cha likizo wala sikukuu. Labda kuwe na msiba. Tena niwe mimekufa mimi."

Mama alikerwa na tabia yangu ya vivulanavulana. Maana si mara moja kunigundua narudi muda mbovu.

Na si ajabu alimwambia na anko kwamba nimeanza mahusiano wakati kumbe mwenzao wala, natunza usichana wangu.

Basi, siku ya safari ilifika, nikabeba nguo zangu kwenye begi la mgongoni, huyoo! Dar kwa anko Jailos. Alikuja kunipokea stendi tukaenda nyumbani kwake, Tabata.

Nilioneshwa chumba changu cha kulala, bafu, jiko, stoo na vitu vingine vya nyumbani.

Ilinichukua wiki moja tu, nilianza kidato cha kwanza kwenye shule moja ya sekondari.

Nilisoma vizuri hadi nikafika kidato cha pili. Nilikuwa nikipata matokeo mazuri maana nilijua nimekuja Dar kusoma na kwa sababu muda mwingi usia wa mama ulinijia kichwani mwangu.

Nilipofika kidato cha tatu, nikiwa na umri wa miaka kumi na tisa, nilivunja ungo. Wengine wanasema nilichelewa. Lakini mimi ninachojua ndo' ilikuwa wakati wangu. Sikuchelewa wala sikuwahi.

Ila tofauti niliyoiona ni kwamba mwili wangu uliingia katika mabadiliko makubwa. Nilianza kunawiri na kupendeza. Kila sehemu ya mwili wangu ilibeba jukumu lake.

Chakula cha mtoto kilisimama vizuri msimamo wake, watu waliuita saa sita mchana.

Nyuma kulichomoza inavyotakiwa. Vibastola navyo vilijitutumua ili kulinda viungo vingine kama sura, miguu, kiuno na kifua visishambuliwe kirahisi.

Baadhi ya wanaume walianza kunimezea mate waziwazi hata wale ambao zamani waliniona mimi ni mchafukoge.

Sasa siku moja nilipotoka shule, nilimkuta anko Jailos akijiandaa kutoka na gari. Sijui alikuwa akielekea wapi! Nilimsalimia kama ilivyo kawaida yangu.

"Shikamoo anko." Nilinesa kidogo kama napiga magoti ili kuashiria heshima na adabu kwa mtu aliyenizidi umri na pia ni mjomba 'angu.

Lakini anko aliitikia shikamoo yangu huku akiniangalia kwa macho yenye jambo fulani kuhusu mimi.

Hilo jambo, liwe baya, liwe zuri. Lakini ni jambo fulani kunihusu mimi Doreen.

Nilihisi kuna zaidi ya tatizo, haikuwa kawaida yake kuniangalia kwa macho ya vile hata kidogo.

Nilimwogopa sana anko siku hiyo kiasi cha kuhisi afadhali nisingekuja kusoma Dar. Moyoni nilisema nafuu ningebaki kwetu Morogoro nikaendelea kula nauli za akina Mkude.

Lakini nilijiuliza kama nina kosa nitakimbilia wapi maana ndani ya nyumba tulikuwa tukiishi wawili tu. Mimi na yeye. Msichana wa kazi alishaondoka kwa kutoroka.

**************

Kifupi, anko Jailos alitengana na mke wake miaka minne nyuma. Sababu ya kutengana mimi sikujaliwa kuifahamu kwa vile wakati wanapishana lugha nilikuwa niko nyumbani, Morogoro nasoma shule ya msingi.

Baada ya kumaliza darasa la saba, sikuchaguliwa kuendelea na masomo ya sekondari. Mwaka mmoja baadaye ndiyo akanichukua anko Jailos. Nilikuwa na miaka kumi na sita tu.

Yeye na mama yangu mzazi ni toka n'toke. Mkubwa mama. Kwa hiyo anko Jailos anaweza hata kupokea mahari yangu bila kipingamizi.

Mama yangu ndiye aliyemuomba anko Jailos kunichukua mimi kuja kusoma hapa Dar es Salaam lengo ni kuniandaa na maisha yangu ya mbele na kuniepusha na mimba zisizotarajiwa.

Kigezo alichotumia mama ni kwamba, kule Morogoro naweza kuishia kwenye umalaya tu kama Eliza na mwenzake, Swaumu.

Kufika Dar, anko alinitafutia hiyo sekondari ambapo nilianza kidato cha kwanza nikijichanganya na 'mabesti luza' wengine wa shule za msingi.

Ni shule iliyosifika kwa walimu wazuri japokuwa walimu haohao, hususan wa kiume walisifika pia kwa kucheza 'rigwaride' na wanafunzi wa kike. Hiyo simulizi niliikuta palepale shuleni.

Kwa hiyo mimi haikunipa wasiwasi wala hofu kwani sikusikia kuwa walimu hao wanabaka. Ina maana ni maeleweno. Mimi nilijiambia nitakuwa sielewani nao. Tatizo liko wapi! Si sielewani nao tu.

Basi, awali maisha yetu nyumbani na anko Jailos yalikuwa mazuri sana. Nyumba nzuri. Ina geti. Anko alikuwa na gari na mlinzi wa getini ambaye baadaye alimtimua kwa sababu ya kulewa usiku akiwa kazini japokuwa muda mzuri wa kulewa pombe ni usiku.

************

"Sasa hili tatizo limetokea wapi, Doreen mimi," nilijiuliza.

“Doreen,” anko aliniita kwa sauti iliyojaa utulivu wa hali ya juu baada ya kumaliza kuniangalia kwa yale macho ya saa zile.

"Abee anko."

“Unajua kitu kilichokuleta hapa Dar es Salaam?”

“Nakijua anko. Nakijua," nilimjibu huku nikichekacheka kwa aibu kwani niliamini zaidi ya masomo sina kingine nilichokijua. Na sikujua yeye anazungumzia kitu gani. Hivyo nilijaribu kubeti.

Mimi na anko Jailos hatukuwa na tabia ya kutaniana kama walivyo maanko wengine wa kiume na maanko zao wa kike.

“Ni nini?” aliniuliza anko huku akiwa amekunja sura au uso kuashiria kwamba hanitanii kwa hilo alilokuwa akiliongea wakati huo.

“Nimekuja kusoma anko.”

“Sasa unasoma?” anko alinichapa swali ambalo katu sikulitarajia achilia mbali kulitegemea. Moyoni nilisema mh! Makubwa!

Kabla sijamjibu nilijiuliza anko amegundua nini? Nilipitia nyendo zangu zote za wiki hiyo hata nilipotongozwa na rafiki yake, Mudy.

"Lakini kama Mudy ndiyo amemwambia mimi sijatulia, mbona nilimkatalia. Ningemkubalia hapo sawa," niliwaza.

Halafu nikamrudia anko:

“Mbona nasoma anko au hauoni?” nilimpa jibu kama la kumsuta. Nilitamani niende chumbani nikamletee begi langu la shule aone kazi zangu.

“Zaidi ya kusoma shuleni mnafundishwa nini kingine?”

Loo! hili nalo nililiona ni lingine aisee. Kwa hiyo beting yangu mkeka ulichanika!

Yaani anko sikumuelewa hata kidogo. Nilijua swali lake lilikuwa na maana, halikutokea vivi hivi tu kwamba aliamua kusema. La! Nilikataa.

“Anko, kwa nini umeniuliza hivyo? Kwani kuna nini umesikia? Niambie nijue anko ili kama nimekosa mahali nijirekebishe. Maana mimi naye ni binadamu,” na mimi nilimuuliza.

Si unatujua Wabongo tena. Swali mwenzake ni swali.

“Wewe una uwezo wa kuniuliza bila kunijibu?” anko alinishtukia kwamba nilitaka kumchunguza bila mwenyewe kujua.

Nilimwangalia kwa macho ya tofauti na siku nyingine. Alitisha sana siku hiyo kuliko siku nyingine zozote zile tangu nilipoanza kumfahamu. Hata alipokuwa akija nyumbani.

“Tunafundishwa masomo,” nilimjibu huku nikisikilizia jibu lake.

“Mnafundishwa masomo tu? Hakuna lingine, si ndiyo ee?"

"Ndiyo anko. Kwani kuna nini kingine umeambiwa tunafundishwa?" Hili swali nilimuuliza kwa kulipindisha tu.

Lakini swali orijino nililotaka kumuuliza lilikuwa hivi, "anko we si ndiyo ulinitafutia ile shule, 'sasa kama kuna kingine tunafundishwa siyo kizuri kwa nini ulinipeleka pale?"

“Sawa. Lakini mbona kama naona wewe unajua na mambo mengine mengi?” anko aliniambia huku bado macho ameyakaza kwangu.

“Yapi mengine ninayoyajua anko?” nilimuuliza huku nikijiangalia nilivyo.

“Jiangelie sana nakwambia, tena jiangalie,” alisema huku akiondoka kwenda chumbani kwake.

USIKU WA KUMUWAZA ANKO

Usiku wa siku hiyo sikupata usingizi hata lepe. Nilimfikiria sana anko Jailos na kauli yake hiyo ambayo ilikuwa ikijirudia kwenye kisanduku changu cha kumbukumbu kichwani.

"Unajua kitu kilichokuleta hapa Dar es Salaam?”

“Nakijua anko. Nakijua."

“Ni nini?”

“Nimekuja kusoma anko.”

“Sasa unasoma?”

“Mbona nasoma anko au hauoni?”

“Zaidi ya kusoma shuleni mnafundishwa nini kingine?”

“Anko, kwa nini umeniuliza hivyo? Kwani kuna nini umesikia? Niambie nijue anko ili kama nimekosa mahali nijirekebishe. Maana mimi naye ni binadamu."

“Wewe una uwezo wa kuniuliza bila kujinibu?”

“Tunafundishwa masomo."

“Mnafundishwa masomo tu? Hakuna lingine, si ndiyo ee?"

"Ndiyo anko. Kwani kuna nini?"

“Sawa. Lakini mbona kama naona wewe unajua na mambo mengine mengi?”

“Yapi mengine ninayoyajua anko?”

“Jiangelie sana nakwambia, tena jiangalie."

Roho iliniuma sana. Nusura nimsemee mbovu. Lakini nikakumbuka kwamba ni anko wangu kabisa damu moja na mama yangu mzazi, Avelina Mpalapanda.


Nilitoka kitandani. Nikasimama ili nitoke kwenda kumuuliza anko kwa ufasaha zaidi, kwamba tatizo langu lilikuwa wapi? Kwa sababu naweza kuwa naishi kwa amani. Lakini kumbe ishu ni kubwa kuliko.

Ilifika mahali nikaanza kuhisi kwamba huenda anko aliambiwa na jirani maneno fulani kunihusu mimi ambayo hayana ukweli ndani yake. Na bila kuchunguza aliamua kunivaa kwa staili ile.

SI UNGESEMA SASA ANKO

Kesho yake nakumbuka ilikuwa Ijumaa. Mara nyingi siku za Ijumaa anko alikuwa anarudi nyumbani na mwanamke wake. Anaitwa Sesi. Nilizoea kumwita anti Sesi kwa sababu ni mwanamke wa anko wangu.

Anko alipokuwa akitoka alisema atachelewa kurudi pengine hadi baada ya saa sita usiku. Nikamuuliza:

"Anko leo utarudi na anti Sesi?”

"Siyo jukumu lako kujua. Halafu nimeshakwambia nitarudi baada ya saa sita usiku. Kwa hiyo siyo leo ni kesho hiyo. Au huko shuleni hamjafundishwa siku inageuka saa sita usiku?"

“Sawa anko. Nimekuelewa."

Alipoondoka tu, nilibaki najiuliza mwenyewe, ni kwa sababu gani anko alibadilika vile?! Yaani hadi kufikia hatua ya kuyatengua maswali yangu na uelewa wangu wa darasani.

Eti, 'siyo jukumu lako kujua. Halafu nimeshakwambia nitarudi baada ya saa sita usiku. Kwa hiyo siyo leo ni kesho hiyo. Au huko shuleni hamjafundishwa siku inageuka saa sita usiku?'

Lakini tofauti na tangazo lake la awali, saa mbili usiku, anko aliingia akiwa peke yake. Nilishangaa.

“Anko, anti yuko wapi?”

“Anaumwa, asingeweza kuja, natokea huko…”

“Nini zaidi kinamsumbua?”

“U.T.I. Yule anapenda sana kukaa kwenye mabaa na kunywa mabia. U.T. I. haiwezi kumkimbia hata hatua tatu," anko alinijibu huku akikaa kwenye sofa kubwa.

Cha ajabu, macho yake yalitua kifuani kwangu kwa sekunde kadhaa kama mtu aliyeduwaa kwa kitu alichokiona. Nikaingiwa na wasiwasi. Anko hakuwahi kunikazia macho vile hata siku moja.

Nilitoka mbio kwenda chumbani moja kwa moja kwenye kioo cha dressing table. Nikajitazama sikuona kasoro yoyote.

Usiku huo nilikuwa nimevaa suruali si suruali, sijui niiteje!

Kifupi nilivaa suruali yenye matirio ya soksi au fulana kama siyo tisheti. Haikufika chini. Iliishia katikati ya miguu na magoti, ilinibana kisawasawa ndiyo maana wabatizaji wakaiita 'skintaiti.'

Halafu juu nilivaa kitop cha kata mikono, chekundu. Kifua changu kilionekana vyema hata nido zangu zilivyosimama vizuri zilionekana.

Halafu umbo langu sasa. Nyuma nimebinukia kwa mbele. Kifua mbele. Halafu kikalio kimejitokeza na kufanya mbinuko wangu kuvutia zaidi. Pia, Mola alinijalia vibastola. Jamani! Mwenyewe nilikuwa najijua kwa sababu nilipenda sana urafiki na kioo cha dressing table.

Nilichobaini ni kwamba, anko Jailos bwana alikuwa akiniangalia kifuani kwa sababu alihamasika na nido zangu nzuri.

Hivyo nilirejea sebuleni kwa aibu nikijipitisha mkono kifuani kama kuziba nido. Na mimi naye, si ningebadili nguo tu. Shida yote ya nini.

“Anko, mimi sasa nakwenda kulala... Usiku mwema,” alisema anko huku akisimama.

Safari hii macho yake yalitua kwenye mapaja yangu. Yaani nikaona kama vurugu mechi.

Nilihisi anko siku hiyo hakuwa sawasawa kisaikolojia.

“Huli chakula anko?” nilimuuliza.

“Nimeshakula kwa anti yako."

“Kwa hiyo niondoe chakula mezani?”

Anko hakunijibu, alipotelea zake chumbani kwake hadi nikajiona mi mjinga sana. Mtu alishasema ameshakula kwa demu wake na aliniaga anakwenda kulala bado nauliza kwa hiyo niondoe chakula mezani?! Hii akili au ulojo!

Anko aliingia chumbani kwake,
Nilichofanya baada ya swali hilo, nilizima tivii, nikazima king'amuzi, nikasimama na kwenda chumbani kulala. Nilitembea mwendo wa kama ninayesema, 'isiwe shida bhana.'

Kabla usingizi haujanipitia sawasawa, mlango wa chumbani kwangu uligongwa kwa taratibu, nikaenda kuufungua ambapo nilikutana na sura ya anko! Nilishtuka kidogo.

“Karibu anko,” nilisema huku nikimwangalia kwa jicho la woga.

Nilijua alichokuwa akikizungumza kilizidi kumkera kwa hiyo alikuja kunipasulia ukweli wangu.

“Umelala anko?” aliniuliza.

Nilishangaa anko kuniuliza swali lile, nilikuwa nimelala? Sasa ningekuwa nimelala ningemfunguliaje mlango?

“Nimeamka anko,” nilimjibu kwa kulibadili swali lake huku nikimwangalia kwa uso wa aibu kidogo maana nilikuwa nimevaa kanga moja kuzunguka kifuani.

“Oke! Aaaaah, oke lala kwanza basi anko," anko aliniambia kwa sauti iliyochoka.

Akaondoka zake.

Nilirudi kitandani kwangu. Lakini kabla usingizi haujanipata sawasawa, mlango uligongwa tena nikajua ni anko tu maana ndani tulikuwa tukiishi wawili kwa wakati huo.

Wakati nakwenda kufungua mlango nilikuwa nawaza anko ana nini? Nilianza kuhisi ni zaidi ya tatizo.

“Karibu anko,” nilisema kwa sauti iliyokuwa mikononi mwa usingizi.

“Asante anko. Aaa, tunaweza kuongea kidogo?”

“Sawa anko.”

“Wapi sasa?” aliniuliza.

Maana yake tutaongelea wapi! Nilibaki nimemkodolea macho kwa sababu kwa kuongelea mimi na yeye hakuna kwingine zaidi ya sebuleni.

“Njoo huku,” alisema akinishika mkono, nikaanza kumfuata kama mtoto anayechenga kwenda shule sasa siku hiyo mzazi kamshika mzobemzobe kumpeleka

Tulikwenda hadi sebuleni. Nilidhani anko atakaa. Lakini tulifikia kusimama…

“Anko,” aliita.

“Abee…”

“Unajua umekua sana.”

“Kweli anko?” nilimuuliza kwa sauti iliyoshindwa kuukomesha usingizi.

“Kweli kabisa. Yaani siku hizi unapendeza anko wangu si kama zamani. Ukivaa nguo zako za kisasa hizi ndiyo kabisa, daa! Ankoooo.”

Kichwani kengele iligonga. Nilimwona mama huyu hapa siku naondoka nyumbani kuja Dar. Alisema:

"Unakwenda kwa mjomba 'ako sasa, ukajiheshimu. Mavazi ya kijingajinga maru nini?" Nikamalizia marufuku!

"Eee. Marufuku. Usitake mdogo wangu anishangae nimekuleaje! Wakati nimekulea vizuri tu, ila nyie watoto wa kizazi hiki ni balaa. Mnajifanya mmejizaa wenyewe."

Basi, mimi niliona maneno ya anko ni zaidi ya sifa. Nikajua anachotaka. Nilijiuliza, akinitamkia je! Moyoni nikasema nitakataa. Yeye ni anko.

Mbaya zaidi wakati ananisifia alikuwa bado amenishika mkono na kuniangalia kwa kinagaubaga.

Ilifika mahali anko alishindwa kujizuia, akanikumbatia bwana, akaniweka kifuani pake.

Nilihisi kuishiwa nguvu. Joto lake likanifanya nipungukiwe akili ya kuwaza mabaya na mazuri.

Nilijikuta na mimi namkumbatia kwa kuzungusha mikono yangu kiunoni kwake.

Kidogo nimwambie, 'si ungesema sasa anko.'

Anko alinishika kichwa akaniseti nimwangalie, nikamwangalia. Tukaangaliana. Akaniletea uso hadi jirani kabisa na uso wangu, akaigusisha pua yake na yangu, akanihemea. Tukahemeana.

Nilishikwa na hali ambayo sijawahi kuipata tangu kuzaliwa kwa mama Doreen na mpaka siku hiyo kwani sikuwahi kukutana kimwili na mwanaume yeyote.

Nilihisi mwili unaishiwa nguvu halafu natamani kushikwashikwa zaidi sehemu mbalimbali za mwili.

Kwa upande wake anko, naamini alijua ninavyojisikia. Ye si mzoefu bwana!

Alinikalisha kwenye sofa. Halafu akanilaza. Kisha akafungua pindo la kanga kidogo, akapeleka mkono wake kwenye ncha ya nido langu moja na kufikichafikicha. Nilisisimka mno mno! Hapo macho yangu yote yalikuwa yamelegea, lege!

“Anko,” aliniita kwa sauti yenye mchoko wa mahaba.

Kama ilivyo kwenye miayo. Kuna mwayo wa njaa, usingizi na kuchoka. Na mchoko vivyo hivyo. Kuna mchoko wa njaa, wa mahaba na wa usingizi.

Mimi nikamwitikia kwa kumwangalia tu. Lakini hakuniambia chochote. Akaachia tabasamu kwa mbali huku na yeye akiniangalia kwa karibu sana.

Nikiwa bado kwenye sofa, anko akanisogezea tena uso wake, akagusanisha midomo yake na yangu, nilijikuta napanua kinywa mimi mwenyewe, akaingiza ulimi kidogo tu, kisha akautoa. Akaniita tena…

“Anko.”

Itaendelea...
 
Mimi kama Mjomba nasema Pumbavu kabisa. Hizi nyuzi zinaharibu watoto kwa ku-normalize ushetani kama huu, na wapumbavu wengine wanapata sababu ya kuutekeleza.
 
Back
Top Bottom