Penzi la binti alie mwembamba lipo genuine na original kuliko penzi la tipwa tipwa

Penzi la binti alie mwembamba lipo genuine na original kuliko penzi la tipwa tipwa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Kosa tipwa tipwa ajue unababaika kuhusu yeye

Au ajue maisha yako ni ya kuunga kuunga

Au ajue wewe ni mnyonge

utapelekeshwa balaa mnoo kama gari taka.

Naona kila siku mabinti wembamba ndio wanaolewa na unene wanaenda kuupatia ndoaani na hata wakiwa wanaoelewa wakiwa wanene hauwezi kuta wana wezere hapa hadi tunduma, hapana, mara nyingi ni wasichana flani simple sana.

Mabinti wembamba ni wasichana simple sana kuanzia tabia hata makuu yao hayako complex kama wenye taarab imo.

VIMBAU MBAU OYEEEEEE!!!!♥️♥️
 
Mkuu, sio makalio tena. Kikao cha mwisho tulikubaliana hivyo
 
Back
Top Bottom