**~** penzi la clara **~**


Hapa inaonyesha msaliti wa ndoa ndio alianza kusimulia kisa na mwanamama akamalizia mkasa.
 
thijui ni "kiherehere" gani kilinifanya niitafute hii hadithi mweh.. maana.. hadi mwenyewe nimeona aibu.. maskini Da' Bupe!

Wengine hatukuelewi bana,ulishafanya kiherehere hivyo malizia hadithi hii hayo mambo mengine mtajijua wenyewe.
h
 
kwakweli malizia mkuu ni tamu nampenda clara sana yani umenigusa na clara malizia pls
 
Mmh.Asskofu unalilia hadithi na kanisa je nani atalichunga?

Hizi hadith huwa tunatumia kwenye mahubiri... sometimes...

GS unatangaza nia lini tukuunge mkono au hili pambo?

Mgombea Ubunge Mtarajiwa(CHADEMA)-Niunge Mkono
 
Hizi hadith huwa tunatumia kwenye mahubiri... sometimes...

GS unatangaza nia lini tukuunge mkono au hili pambo?

Mgombea Ubunge Mtarajiwa(CHADEMA)-Niunge Mkono

Mkuu Askofu..Hilo sio pambo ni kweli kabisa..Nia nimeshatangaza kuweka tu hiyo signature hapo maana yake ni kutangaza nia..Najua umemaanisha uliposema kuniunga mkono..NitakuPM for more information na mawasiliano zaidi ili kujua ni jinsi gani tunaweza kusaidiana..Thank You for Your Consern..Really appreciated!
 
Thank you MMKJJ. I enjoyed the first chapter of your story. Why not get published?
 
....Hii hadithi mbona kimyaaaaa? Nachungulia kila siku sioni mwendelezo!! MMKJ kulikoni au majukumu yamezidi?
 
Haya imeendelea kidogo hiyo sehemu nyingine ndiyo ngumu kweli kuiweka hapa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…