Penzi la Diamond kwa Zari linawaumiza wengi

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
Nimejaribu kukaa na kutafakari matusi anayopewa Diamond na team Wema, kisha katika pitapita zangu nikakutana na hili jamaa linajiita King Lawrence (Lawrence Muyanga). Huyu jamaa nadhani amekuwa mtumwa wa kufuatilia mienendo ya Diamond na Zari, kwani karibu kila tukio analirusha huko instagram kwake.

Kwa namna anavyoaandika maneno ya kejeli hakuna shaka kwamba huyu jamaa penzi la Chibu na Madam Zari limempiga za chemba vibaya mno. Jamaa kama kapanic hivi hadi kakosa direction. Anataka kutengeneza kaushindani ka kijinga na Chibu halafu Chibu mwenyewe kampotezea. Pamoja na kuwa jamaa anaonekana change zipo ila hili la Chibu na Dangote pesa imeshindwa kufanya kazi.


 
Ngoja waje wataalamu Wa mambo ya ngono na mahusiano
 
Ngoja waje wataalamu wa ushauri wa masuala ya ngono
 
Ukiangalia sura yake tu unajua jamaa ni mjinga, attention seeker. Kumfungulia thread humu ni kumpa umaarufu asiostahili. Mpuuzi yule ni kuanzisha kampeni ya kumu unfollow ili mashudu yake awe anayaona mwenyewe.
 
nashukuru umeweka umeniwahi sijui huyu mbwa analipwa sh.ngapi kumchafua naseb mie sio fan wa daimond but for this niko na dai maana hawezi kutudharau watz kias hichi na km kuna wabongo wanashoboka na huyo ---- lawrence mafalaa tuuu

Yani huyu jamaa katika siku kaniboa ni jana yeye kama ana uchungu na mke wao huyo zari amtukane zari sio na chibu wetu na watanzania ndio wanaongoza kukomenti kwake ni mshenzi alopitiliza
 
Yani huyu jamaa katika siku kaniboa ni jana yeye kama ana uchungu na mke wao huyo zari amtukane zari sio na chibu wetu na watanzania ndio wanaongoza kukomenti kwake ni mshenzi alopitiliza

sijui wanajiskiaje mi sio tim daimond ila sipendi udhalilishaji anaofanya watz sijui tukoje
 
Nayeye anataka muhogo maana kila anapopita dai wanamsifia mwambie angoje foleni akitoka mtu ataingia nayeye
 
Yaani mm adi nlitaka nifungue acount mpya ni Mtukanee uyu king mav.i jitu lenyewe linaonesha halina mbele wala nyumaa kujifanya ye anazo limbuken uyoo
kwa hili mi simpendi huyu mbwa ukifungua ntakuunga mkono
tushirikiane kwa hili nasimama km mtz hapa
say no tu humiliation
 
kwa hili mi simpendi huyu mbwa ukifungua ntakuunga mkono
tushirikiane kwa hili nasimama km mtz hapa
say no tu humiliation

Eti nao wale dogi ushuzi cjui waligombana kisa dola 1000za uyu king mata.ko
 
sijui wanajiskiaje mi sio tim daimond ila sipendi udhalilishaji anaofanya watz sijui tukoje

cha ajabu na cha kushangaza, watanzania ndio wanampa kichwa, hata kumpa habari ili aitengenezee kejeli kwa diamond, kwa mfano hiyo picha ya flora, flora aliiweka mara tu baada ya show juzi, akaweka caption i miss been on stage, kisa tu dai kavaa kama yeye, sikujua nini maana yake kwani hata haikuwa siku ya TBT, wabaya wake wakaitumia kumkejeli, kuna mtu anaitwa dougiemasta huko insta yaani for the seek of wema yupo tayari watanzania wote tudharauliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…