Penzi la Diamond kwa Zari linawaumiza wengi

Penzi la Diamond kwa Zari linawaumiza wengi

cha ajabu na cha kushangaza, watanzania ndio wanampa kichwa, hata kumpa habari ili aitengenezee kejeli kwa diamond, kwa mfano hiyo picha ya flora, flora aliiweka mara tu baada ya show juzi, akaweka caption i miss been on stage, kisa tu dai kavaa kama yeye, sikujua nini maana yake kwani hata haikuwa siku ya TBT, wabaya wake wakaitumia kumkejeli, kuna mtu anaitwa dougiemasta huko insta yaani for the seek of wema yupo tayari watanzania wote tudharauliwe.
yaani mi ht sijuo wanajiskiaje hv waganda unafkri wanatupenda hapana mi siungi mkono team wema wamepaniki sana hawakutegemea kwnza zari kawapita wote uzuri na vumba ndo maana wanapata hasira
hahahahahaaaaa hapa tu ndipo napokupendeaga, hunaga ushabiki maandazi, kibongo bongo unamkubali kiba above all, kioutside unasimama kama mtanzania, love you bureeeee
leo daimond kesho kwa kiba ht isiwe mwanamke ndo sababu so tuache chuki u never know i hope kiba na dai watafanya collabo
Huyu jamaa anaitamani ndude ya Daimond

umeona eeeehhhh
 
yaani mi ht sijuo wanajiskiaje hv waganda unafkri wanatupenda hapana mi siungi mkono team wema wamepaniki sana hawakutegemea kwnza zari kawapita wote uzuri na vumba ndo maana wanapata hasira

leo daimond kesho kwa kiba ht isiwe mwanamke ndo sababu so tuache chuki u never know i hope kiba na dai watafanya collabo


umeona eeeehhhh

and this is what so call uzalendo, kitu ambacho most of watanzania sijui tutapewa vaccination gani hii damu ya uzalendo ingiie kwenye veins zetu.
 
Sorry wadau huyu wajina wangu Kinglawrenc ndio Ivan au ni nani huyo?
 
ILA zari Ni mzuri kwakweli,.
Diamond tangu ameanza kuwabadilisha graph take ya kuchukua warembo inapanda tuu,.kwakweli anajua kupoint.
Hats atakae fuata naamini atakua mkali kuliko Zari.
 
hahahaaaa Dinazarde alafu kazi yake nyingine ilikuwa driver wa watoto wa zari, akafutwa kazi baada ya kuwatoa watoto wa zari mtandaoni, hapo ndipo hasira ilipoanzia.

Basi kina dogy hapo lazima wakatoe miku.ndu waongezwe dola maana ile waliigombea balaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa anaitamani ndude ya Daimond

Jamaa chizi sana yule anaboa ka nini!
Alafu mitz mijinga jinga ndo inayompa kichwa hata kule kwa Ivandon full kujipendekeza tu. Wabongo sie sijui tupoje aseee

Ila behind every word this dude talks on Zari Diamond, huwa siamini kama Ivan hayupo nyuma yake....hakuna mwanaume atachekelea wanae kutumika mtandaoni eti kisa mama yao kafanya hiki ama kile unless naye ametia support yake!

Jamaa attention seeker yule na limepata followers kweli.
 
nmejaribu kuangalia page ya wema sepetu instagram. kati ya watu aliowafollow hivi karibuni ni huyo king Lawrence na ivandon (ex wake zari) . hii inaonyesha nae ni mtumwa wa kinachoendelea. na ukijaribu ku trace back jamaa kabla haujaanza kupost utumbo kama mwez mmoja hivi na nusu alikuwa na followers chini ya 5000 sahivi zaidi ya 18000 na asilimia kubws walio mfollow ni team wema wanaompa kiburi KU UNFOLLOW HAITA WEZEKANA ...

Me ninasema moja ya kitu kinachompa mtu nguvu ni attention iwe ya upendo au ya kinafiki. kwa sababu ukijaribu kuangalia hata video ya nitampata wapi ambayo kwa sasa ina views zaidi ya million mbili na laki moja na usemi juu kuwa kamponda wema kwenye huo wimbo bado wema na team yake wamechangia kuongezeka kwa views hata pia kwa video nyinginezo za youtube ili kutafuta pa kum kandia...

Diamond aendelee kukaza apige ziara zake aje arelease song la kimataifa hilo apige diamonds are forever Season 2 na afu aongeze thamani yake anayo charge kwa show huku huyo chibu junior anasubiriwa, tuwaombee tu malimao yawasaidie wasipate magonjwa ujanani bp, kisukari, vidonda vya tumbo maana dunia ya leo kufuatilia kilasiku mwenzako kafanya nini utafute mapungufu umponde hahaha MUNGU AWAREHEMU TU...........
 
Back
Top Bottom