Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
yaani mi ht sijuo wanajiskiaje hv waganda unafkri wanatupenda hapana mi siungi mkono team wema wamepaniki sana hawakutegemea kwnza zari kawapita wote uzuri na vumba ndo maana wanapata hasiracha ajabu na cha kushangaza, watanzania ndio wanampa kichwa, hata kumpa habari ili aitengenezee kejeli kwa diamond, kwa mfano hiyo picha ya flora, flora aliiweka mara tu baada ya show juzi, akaweka caption i miss been on stage, kisa tu dai kavaa kama yeye, sikujua nini maana yake kwani hata haikuwa siku ya TBT, wabaya wake wakaitumia kumkejeli, kuna mtu anaitwa dougiemasta huko insta yaani for the seek of wema yupo tayari watanzania wote tudharauliwe.
leo daimond kesho kwa kiba ht isiwe mwanamke ndo sababu so tuache chuki u never know i hope kiba na dai watafanya collabohahahahahaaaaa hapa tu ndipo napokupendeaga, hunaga ushabiki maandazi, kibongo bongo unamkubali kiba above all, kioutside unasimama kama mtanzania, love you bureeeee
Huyu jamaa anaitamani ndude ya Daimond
umeona eeeehhhh