Penzi la Diamond na Tanasha liko ICU

Akiachana na huyu dada duuu.Ila ukishazaa na watu tofauti tofauti it also becomes a habit. Mimi shabiki yake sana Ila huu upande wa mapenzi aisee hpn
 
Soma vizuri uelewe sijasema umefurahia ila nimeshangazwa na hio comment hapa tu kuliko kule kwenye mwanamke mwenye matatizo zaidi. Hii inaweza kuwa kiki ujue

Hivi kumbe kuna tofauti kubwa kati ya kusheherekea na kufurahia e?sawa

Kwa case ya history ya Diamond na mahusiano yake inawezekana ikawa ni kweli
 
Hahahahaha mkuu unachekesha. Uzi wa jacky sijaona mahubiri hayo au jack sio mwanamke mwenzetu? Wanawake wote ni wachawi ila tumezidiana viwango na unafiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mtu ni nyok*
 
Ha ha ha watajiju hukohuko cha msingi Liverpool kafungwa 3 na Yanga kaupiga mwingi sana leo
 
Hiyo Reply yako nimecheka Sana [emoji1787]
Kwamba anajifanya kuleta Mahubiri kwenye huu Uzi

Kweli Aisee wanawake Mnatabia ya kuchukiana ila viwang havifanani hahahh

Sijawahi ona Wasichana wanapeana hi road Kama hawajuani
ila Sisi Peace Sana hata namba ya demu unapewa wa mitaa iyo
 
Kwani Tanasha naye ni msanii? Maana wengine mambo haya mpaka tuyakute jf si kwingineko sijui ndiyo ushamba wenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watajiju na maisha yao...yangu yananishinda ya nini kutwaa....kuhangaikia maisha ya watu..

Penzi langu lenyewe tia maji tia maji...mwisho wa siku kila mtu apambane na hali yake...huyo diamond hawezi kuwa role mode kwenye kila kitu...vingine awaachie wakina ma-law..mwanafa...etc
 
Bi shosti unajua na kujielewa sana..watu wanaacha kuhangaikia ya kwao yanayooenda mrama mishipa ya shingo inawatoka kuzungumzia ya huyo
chezea chezea na kutupa pembeni ukikuchoka

Hivi wabongo hamja zoea tu hizi Kiki za Wasanii, Kwani hamjui watu wapo kazini.. Bila hivyo visanga na vurugu mechi hamta waongelea... Au hamjui hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool wamenichania mkeka wangu leo uliokuwa umekubali vizuri tu. Au Klopp kapiga dili na makampuni ya kubet?
 
Huyo bibie tanasha alikuwa anajua kabisa domo ni tatizo lakni mwana kulitaka limempata...

Na kunakinguchiro kingine kinasubiri kuingia akitoka huyo gume gume..

Hahaaa hio sentesi ya mwisho imenichekesha sana, kinguchiro kinasubiri kubamizwa na yeye Hahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…