Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha mkuu unachekesha. Uzi wa jacky sijaona mahubiri hayo au jack sio mwanamke mwenzetu? Wanawake wote ni wachawi ila tumezidiana viwango na unafiki
Soma vizuri uelewe sijasema umefurahia ila nimeshangazwa na hio comment hapa tu kuliko kule kwenye mwanamke mwenye matatizo zaidi. Hii inaweza kuwa kiki ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha mkuu unachekesha. Uzi wa jacky sijaona mahubiri hayo au jack sio mwanamke mwenzetu? Wanawake wote ni wachawi ila tumezidiana viwango na unafiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mtu ni nyok*
Hiyo Reply yako nimecheka Sana [emoji1787]
Watajiju na maisha yao...yangu yananishinda ya nini kutwaa....kuhangaikia maisha ya watu..Lile penzi lililokuwa linatikisha Afrika Mashariki sasa liko ICU na muda si mrefu litaaga dunia.
Inasemekana penzi hili limeisha siku nyingi kwa upande wa msanii maarufu Diamond Platnumz ila Tanasha kama ndio anaforce hili penzi ili liweze kuendelea kwa kuogopa aibu ambayo itamkuta baada ya kuachana kwani wambea na x-wife wa Diamond, Bi. Zari The Bosslady walimuambia siku nyngi kuwa Diamond sio wa kumuamini ila Tanasha hakusikia akidhani wanamuonea wivu.
Kwa sisi wazungu tunaita ni 'one sided love' na Tanasha ndio anaforce love 😂
Week iliyopita Diamond alitoa wimbo wa pamoja na Tanasha lakini cha kushangaza hakuupromote kama anavyopromote nyimbo zake mwenyewe na baada ya siku 2 akatoa wimbo wake ili kuupoteza wimbo wa Tanasha na akaacha kabisa ku promote wimbo wake na Tanasha.
Jana Tanasha alikuwa na show Tanzania lakini hakuna mtu aliye promote show yake. Kwa ufupi Tanasha amechokwa lakini anaogopa aibu ya watanzania.
Leo Tanasha ameanza kupost mafumbo instagram na kufuta picha zote za Diamond na familia yke na amemuunfollow dada wa Diamond aitwaye Esma Platnumz.
Inasemekana Tanasha amechoka na ameamua kuachana na Diamond baada ya kuona matukio yakiongezeka kla siku. Hapa naona Tanasha anatingisha kibiriti tu anadhani na yeye ataambiwa atafuatwa Kenya kwa magoti 😂.
View attachment 1373019
.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhaahahah.Watajuana.Hayatuhusu. Kila mtu apambane na gume gume lake.
Hivi wabongo hamja zoea tu hizi Kiki za Wasanii, Kwani hamjui watu wapo kazini.. Bila hivyo visanga na vurugu mechi hamta waongelea... Au hamjui hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo bibie tanasha alikuwa anajua kabisa domo ni tatizo lakni mwana kulitaka limempata...Pole Tanasha, you are talented, keep on working hard, you will get there!
Huyo bibie tanasha alikuwa anajua kabisa domo ni tatizo lakni mwana kulitaka limempata...
Na kunakinguchiro kingine kinasubiri kuingia akitoka huyo gume gume..