Penzi la Diamond na Tanasha liko ICU

Hahaaa hio sentesi ya mwisho imenichekesha sana, kinguchiro kinasubiri kubamizwa na yeye Hahaaa

Wanawaké wakati mwingine huwa hawajifunzi...unayaona kila siku...halafu mwisho wa siku unafurahia na wewe kuchezewa na mwanaume huyo huyo....mwanaume kazi ni kuwazalisha na kuwaacha kwenye mataa...

Tuache hayo je huwa hata wanawaza magonjwa ya zinaa kweli...
 
Mmmh kama ni kweli pole kwa tanasha. Wakubwa walimwambia hakusikia
 
Mondi ni misogynist(dislike women) ana story yake kabla hajawa star aliachwa na demu wake kwa sababu hana fedha...kwa kuwa hakuwa "player"ule uchungu umemganda mpaka leo...sasa ya Mungu sio Athumani kazipata...hata akimpata Miss world atamuacha tu..anahitaji counselling
 

Mpe mtu pesa ujue Tabia yake 🤣🤣🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nliwahi iskia mahali,

Ndo Yule Dem alimwimbia "Nenda kamwambie"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hakuna timu TANASHA??

Hakuwa na nyota ka wenzake waliokuwa wanamuinua Mondi...

Everyday is Saturday...................😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…