Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajala alienda pale kikazi keshamaliza sasa ni wakati wa kula mafaoSiamini.
Mgeresi bana..Niggers please am on my bended knee i beg you nawasihi tafadhali FANYENI KAZI
Guys, msione Kajala anaandika magazeti hapo as if yeye ndo kamuacha Harmonize. It's the opposite, this time Harmonize ndio kamuacha Kajala...
Just kuwapa short story ya event ya mwisho kabisa. Show ya mwisho ya Harmonize, Harmonize alikuwa anaongea na simu, yani very busy kwenye simu. Kajala akapanick akawa anamuuliza unaongea na nani? Harmonize akakata na kugoma kumuonesha alikuwa anaongea na nani. Kufika home mnaambiwa bonge la ugomvi, Kajala akatishia nyau akamwambia Harmonize anaondoka anarudi kwake.
We Harmonize mihasira akaingia ndani akapasua perfume zooooote za Kajala. Kajala akaanza kumchamba unapasua perfume zangu unajua nimenunua how much au unajua nani kazinunua? Harmonize akamwambia poa sepa, nenda kwako nimechoka kukubeg beg kama malaika, ondoka sasa hivi? Yani hata pasikuche we sepaaaa.
Kajala hakuamini anachoambiwa akaanza kulia hataki kuondoka. Hakudhani Harmonize angemuambia aondoke wakati siku zote Harmonize anambeg.
Kajala karudi kwake wiki nzima Harmonize hajamtafuta ndio Kajala kuanza kupigia simu watu ambao Harmonize anawaheshimu kuwa waongee naye. Alianza na Majey, Majey kumpigia Harmonize, Harmonize akajibu hataki keshamalizana na Kajala. Kajala akapiga kwa Jembe anaomba amuombee awapatanishe, Harmonize akamgomea na Jembe.
Ni wiki sasa Kajala yuko South Africa, huko kwenyewe alipofika alikuwa anahangaika tu kupatana na Harmonize ila Harmonize akamblock kila sehemu na simu zake hapokei.
Hii statement ya Kajala leo ni kama ile statement ya Zari ya ua jeusi watu wakadhani kuwa Zari ndiyo kamuacha Diamond, kumbe bibie ni baada ya kuona bwana hamtaki tena na haeleweki akajiwahi yeye kwenye social media kujionesha yeye ndiyo kamuacha mwenzie. llichukua muda mrefu mnooo Diamond kuja kufungua mdomo na kuwaambia watu kuwa yeye ndio aliemuacha Zari.
Same thing kimetokea hapa kwa kajala. Na mkumbuke last time Kajala aliachana na Harmonize kimya kimya bila kuandika chochote ndo mjue this time kuna jambo hadi kaja kuji explain.
Ila kubabeki Harmonize kachunwa vizuri tu na Kajala na mwanaye. lle gari moja Paula kaichukulia mkopo ndiyo akaongeza mzigo dukani. Wamemla vihela vyake vya kweli.
View attachment 2440096
Credit: Dada wa Taifa.
😄😄 Nyonya sana utelezi ule mzee 😄
Nina imagine tu hapa, nafumua fumua kwa bed ile mumamaa naikojoza mwanzo mwenga 😅😅😅 minyama nyama ile nainyonya tuu na kuikamata kwa hasira ikitoka hapo inakuwa nyekunduuuu😄😄 Nyonya sana utelezi ule mzee 😄
Sijui nikopeshwe hulka ya kuhonga maana yataka moyo sanaZile range vipi?
Mmakonde alisajili jina lake au la Kajala?