Penzi la Harmonize na Kajala Limevunjika Rasmi


PART II ITAENDELEA.....

 
Konde nae alijichanganya,gari imeenda mileage kibao mpaka tairi zimechakaa ye akakumbatia moto...

Kajala ni kama malkia cleopatra tu,alienda kwa warumi kuua ufalme wa kaisari akachemka....

Hata huyu bibi wa kisukuma alienda kwa konde kimaslahi nakuangusha utawala na kashindwa.....
Atachagua yeye aliwe mbususu au aende..
 
Mange ana wivu na Zari. Domo alichwa na hakuamini kama kaachwa. Mtu aliyeacha asingejishusha kama anavyojishusha daily yupo south na sio kenya wala kwa tununu.

Namshauri mange awekeze nguvu kumpigania mtoto wa tununu aachwe kutengwa na familia ya domo kuliko kila siku kumtolea simulizi mpya zari,mwenzie keshamove on na ana nyama za kutosha kuliko kile kibetina cha marekanj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…