Penzi la Harmonize na Kajala Limevunjika Rasmi

Khoh khoh khoh yaw yaw
 
Jukwaa la kilimo hukuliona mkuu?

Ukiona uzi huuelewi jua, una wenyewe
Usitegemee kila uzi humu ukufurahishe

Ukiona uzi huuelewi
Jifunze kupita tu kimya kimya[emoji4]

Ni mtizamo wangu tu
no offense intended[emoji120]

Watu wa hivi huwa wananishangaza, JF ina majukwaa tele kaacha majukwaa yote yenye mambo anayotaka kaja jukwaa la celebrities na anatarajia akute habari za biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kajala limeumbika vyede
Lile toto zile nyama kwa uroho unazing'ata kabisa ndio angalau kiu inapungua. Toto nyama nyama; limekaa kiutamutamu.
 
Peleka matako yako jukwaa la biashara ukashushe nondo watu watajirike kwa mawazo yako.
Af mtu kama huyu unakuta hata hela wala kazi ya maan hana? Kwanza em muulize kama kala mchana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…