Penzi la Harmonize na Kajala Limevunjika Rasmi

Harmonize angepelekana wapi na mama wa miaka 40+?

Ilikuwa ni lazima wangeachana tu haijalishi Nani ndo atawahi kumuacha mwenzie.
Shida baadhi ya vijana hawasikii, usijaribu kuoa mwanamke aliyekuzidi umri au mdogo sana kuliko wewe mtashindwana tu njiani.Mwanaume una miaka 25 unaoa mwanamke ana miaka 40 and vice versa lazima goma lizime njiani
 
kile kina wivu na kila mwanamke anayefanikiwa
 
Inatusaidia nini sisi members wa JF kujua kuvunjika kwa penzi la watu??yaani mtu mzima unatumia muda wako kuandika JF kuhusu kuvunjika kwa penzi la watu??this is none sense,grow up
Wewe huku celeb forum unafanya nini?
Huoni kua wewe ndie mjinga zaidi..

Sia ajabu huko jukwaa la siasa, story of change, hujawahi kuchangia chochote. Upo busy kwenye kula kimasikhara.
 
Mapenzi yapo tu toka enzi na enzi ,hawakuanza wao na wala sio wao ndio walikuwa wanapendana sana.

Fuatilia Romeo and Juliet ,Bonnie and Clyde,Jack and Rose etc

You "My Boo" like Usher, and Alicia Keys
And every time that you touch me girl you please my knees
Be like, George and Weezy, Jada and Will
Let's shop 'til we drop out in Beverly Hills.




 
Una maanisha nini hapa?
Kapigana vita vingi

Nyie huyu mnayemuona lulu

Wenzenu miaka hiyo club asset tushamchungulia sana akisasambua
Kwenye macincert na mabeach party
Na kikundi chao
Sasa mtu yuko primary school tu...Ana mambo mengi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…