Ndiyo maisha anayoyapenda hayaKwenye huu upumbavu wa Kajala na Harmonize nimebaki njiapanda kujua ningechukua uamuzi gani endapo ningekuwa Harmonize. Kwa utamu wa Kajala nisingekuwa tayari kumuachia ila pia kwa namna anavyochuna nisingeweza kuvumilia maumivu kwa muda mrefu. Mimi kwa ubahili wangu huwa hata nikilipia dawa pharmacy huwa roho inauma.
Niggers dgafNiggers please am on my bended knee i beg you nawasihi tafadhali FANYENI KAZI
Hizi management za muziki huwa sizielewiInabidi Kajala kama meneja wa Konde gengi amtimue Harmonizer sasa[emoji205]
Mume wa kajala hivi alishatoka jela.Tangu lini kajala akatulia na mwanaume...
Ova
Utakuwa umelewaKajala limeumbika vyede
Lile toto zile nyama kwa uroho unazing'ata kabisa ndio angalau kiu inapungua. Toto nyama nyama; limekaa kiutamutamu.
Hahahah nilijua anaenda vunja nyumba Sasa unaenda vunja perfume Ili iweje Sasa.Bange bhana, sasa kuvunja perfume zote maana yake nini?
Ww unaefanya kazi tuko wote jf tena kwenye post moja mm nlijua wanaofanya kazi hjku jf Wanakua na post zao wanaziona special kumbe wote tuko sawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usipende kuwa serious sana na maisha amini kwenye riziki basi utaishi kwa raha sanaNiggers please am on my bended knee i beg you nawasihi tafadhali FANYENI KAZI
P muhuni atakuwa anaichapa kama kawa.Anawasamehe X zake na she is ready for the next, ngoja Pfunk majani ajirudishe taratibu...
Faraji,alishatoka jelaMume wa kajala hivi alishatoka jela.
Si aliolewaga huyo.
Au mapenzi yaliisha after Ile saga kutokea
Jamaa alimpa kajala mpunga mrefu ujuwe,wafanye taratibu wasepeMume wa kajala hivi alishatoka jela.
Si aliolewaga huyo.
Au mapenzi yaliisha after Ile saga kutokea
Above all man,Niggers please am on my bended knee i beg you nawasihi tafadhali FANYENI KAZI
Guys, msione Kajala anaandika magazeti hapo as if yeye ndo kamuacha Harmonize. It's the opposite, this time Harmonize ndio kamuacha Kajala...
Just kuwapa short story ya event ya mwisho kabisa. Show ya mwisho ya Harmonize, Harmonize alikuwa anaongea na simu, yani very busy kwenye simu. Kajala akapanick akawa anamuuliza unaongea na nani? Harmonize akakata na kugoma kumuonesha alikuwa anaongea na nani. Kufika home mnaambiwa bonge la ugomvi, Kajala akatishia nyau akamwambia Harmonize anaondoka anarudi kwake.
We Harmonize mihasira akaingia ndani akapasua perfume zooooote za Kajala. Kajala akaanza kumchamba unapasua perfume zangu unajua nimenunua how much au unajua nani kazinunua? Harmonize akamwambia poa sepa, nenda kwako nimechoka kukubeg beg kama malaika, ondoka sasa hivi? Yani hata pasikuche we sepaaaa.
Kajala hakuamini anachoambiwa akaanza kulia hataki kuondoka. Hakudhani Harmonize angemuambia aondoke wakati siku zote Harmonize anambeg.
Kajala karudi kwake wiki nzima Harmonize hajamtafuta ndio Kajala kuanza kupigia simu watu ambao Harmonize anawaheshimu kuwa waongee naye. Alianza na Majey, Majey kumpigia Harmonize, Harmonize akajibu hataki keshamalizana na Kajala. Kajala akapiga kwa Jembe anaomba amuombee awapatanishe, Harmonize akamgomea na Jembe.
Ni wiki sasa Kajala yuko South Africa, huko kwenyewe alipofika alikuwa anahangaika tu kupatana na Harmonize ila Harmonize akamblock kila sehemu na simu zake hapokei.
Hii statement ya Kajala leo ni kama ile statement ya Zari ya ua jeusi watu wakadhani kuwa Zari ndiyo kamuacha Diamond, kumbe bibie ni baada ya kuona bwana hamtaki tena na haeleweki akajiwahi yeye kwenye social media kujionesha yeye ndiyo kamuacha mwenzie. llichukua muda mrefu mnooo Diamond kuja kufungua mdomo na kuwaambia watu kuwa yeye ndio aliemuacha Zari.
Same thing kimetokea hapa kwa kajala. Na mkumbuke last time Kajala aliachana na Harmonize kimya kimya bila kuandika chochote ndo mjue this time kuna jambo hadi kaja kuji explain.
Ila kubabeki Harmonize kachunwa vizuri tu na Kajala na mwanaye. lle gari moja Paula kaichukulia mkopo ndiyo akaongeza mzigo dukani. Wamemla vihela vyake vya kweli.
View attachment 2440096
Credit: Dada wa Taifa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwenye huu upumbavu wa Kajala na Harmonize nimebaki njiapanda kujua ningechukua uamuzi gani endapo ningekuwa Harmonize. Kwa utamu wa Kajala nisingekuwa tayari kumuachia ila pia kwa namna anavyochuna nisingeweza kuvumilia maumivu kwa muda mrefu. Mimi kwa ubahili wangu huwa hata nikilipia dawa pharmacy huwa roho inauma.
Hutaki nizing'ate nyama za Kajala na meno yanguUtakuwa umelewa
Kajala wa kula naye bata.Ndiyo maisha anayoyapenda haya
Starehe na matumiz tu
Uishi na kajala eti mpange,maisha [emoji1]
Ova
Wadada karibu wote wa muziki na filamu wanaishi maisha feki. Kiukweli mwanamke mwanamuziki (hadi ule wa injili), mwigizaji na mwanasiasa, hawafai kabisa.Ndiyo maisha anayoyapenda haya
Starehe na matumiz tu
Uishi na kajala eti mpange,maisha [emoji1]
Ova