Penzi la Harmonize na Kajala Limevunjika Rasmi

Penzi la Harmonize na Kajala Limevunjika Rasmi

Kwenye huu upumbavu wa Kajala na Harmonize nimebaki njiapanda kujua ningechukua uamuzi gani endapo ningekuwa Harmonize. Kwa utamu wa Kajala nisingekuwa tayari kumuachia ila pia kwa namna anavyochuna nisingeweza kuvumilia maumivu kwa muda mrefu. Mimi kwa ubahili wangu huwa hata nikilipia dawa pharmacy huwa roho inauma.
Ndiyo maisha anayoyapenda haya

Starehe na matumiz tu

Uishi na kajala eti mpange,maisha [emoji1]

Ova
 
Niggers please am on my bended knee i beg you nawasihi tafadhali FANYENI KAZI
Ww unaefanya kazi tuko wote jf tena kwenye post moja mm nlijua wanaofanya kazi hjku jf Wanakua na post zao wanaziona special kumbe wote tuko sawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usipende kuwa serious sana na maisha amini kwenye riziki basi utaishi kwa raha sana
 
Mume wa kajala hivi alishatoka jela.

Si aliolewaga huyo.

Au mapenzi yaliisha after Ile saga kutokea
Faraji,alishatoka jela

Yupo tbt tu ......

Hawa harusi yao hata mm nlikuwepo

Pale police officers merse kuserebuka

Siku ile tulipiga mvinyo wa maana hadi wengine pombe tuliondoka nazo

Huku tukiangaliq show za wakina dully na bushoke [emoji1]

Ova
 
Mume wa kajala hivi alishatoka jela.

Si aliolewaga huyo.

Au mapenzi yaliisha after Ile saga kutokea
Jamaa alimpa kajala mpunga mrefu ujuwe,wafanye taratibu wasepe
Wakati jamaa yuko TA Mafichoni kajala yuko mjini anaruka majoka
Tu
Kajala huyo huyo alipobinywa ndy alimchoma mme wake akadakwa [emoji1]

Huyo mmakonde bado sana kwa kaja
Maana hamuwezi

Ova
 
Ila mahusiano yenye influence ya public kudumu ni kwa nadra sana
 
Guys, msione Kajala anaandika magazeti hapo as if yeye ndo kamuacha Harmonize. It's the opposite, this time Harmonize ndio kamuacha Kajala...

Just kuwapa short story ya event ya mwisho kabisa. Show ya mwisho ya Harmonize, Harmonize alikuwa anaongea na simu, yani very busy kwenye simu. Kajala akapanick akawa anamuuliza unaongea na nani? Harmonize akakata na kugoma kumuonesha alikuwa anaongea na nani. Kufika home mnaambiwa bonge la ugomvi, Kajala akatishia nyau akamwambia Harmonize anaondoka anarudi kwake.

We Harmonize mihasira akaingia ndani akapasua perfume zooooote za Kajala. Kajala akaanza kumchamba unapasua perfume zangu unajua nimenunua how much au unajua nani kazinunua? Harmonize akamwambia poa sepa, nenda kwako nimechoka kukubeg beg kama malaika, ondoka sasa hivi? Yani hata pasikuche we sepaaaa.

Kajala hakuamini anachoambiwa akaanza kulia hataki kuondoka. Hakudhani Harmonize angemuambia aondoke wakati siku zote Harmonize anambeg.

Kajala karudi kwake wiki nzima Harmonize hajamtafuta ndio Kajala kuanza kupigia simu watu ambao Harmonize anawaheshimu kuwa waongee naye. Alianza na Majey, Majey kumpigia Harmonize, Harmonize akajibu hataki keshamalizana na Kajala. Kajala akapiga kwa Jembe anaomba amuombee awapatanishe, Harmonize akamgomea na Jembe.

Ni wiki sasa Kajala yuko South Africa, huko kwenyewe alipofika alikuwa anahangaika tu kupatana na Harmonize ila Harmonize akamblock kila sehemu na simu zake hapokei.

Hii statement ya Kajala leo ni kama ile statement ya Zari ya ua jeusi watu wakadhani kuwa Zari ndiyo kamuacha Diamond, kumbe bibie ni baada ya kuona bwana hamtaki tena na haeleweki akajiwahi yeye kwenye social media kujionesha yeye ndiyo kamuacha mwenzie. llichukua muda mrefu mnooo Diamond kuja kufungua mdomo na kuwaambia watu kuwa yeye ndio aliemuacha Zari.

Same thing kimetokea hapa kwa kajala. Na mkumbuke last time Kajala aliachana na Harmonize kimya kimya bila kuandika chochote ndo mjue this time kuna jambo hadi kaja kuji explain.

Ila kubabeki Harmonize kachunwa vizuri tu na Kajala na mwanaye. lle gari moja Paula kaichukulia mkopo ndiyo akaongeza mzigo dukani. Wamemla vihela vyake vya kweli.

View attachment 2440096


Credit: Dada wa Taifa.
 
Halafu mwanamke kama kajala sio rahisi kudumu kwenye relationship ,mahusiano yake ni Public base,yani anatafuta huruma sana kwenye jamiii ili mahusiano yake yaende,ogopa sana mapenzi ya hivi au mpenzi wako mkigombana tu anakimbilia kwa ndugu zake kukusema stupidy
 
Mada ya Bumbuli inahamishwa nani mfadhili wake
 
Kwenye huu upumbavu wa Kajala na Harmonize nimebaki njiapanda kujua ningechukua uamuzi gani endapo ningekuwa Harmonize. Kwa utamu wa Kajala nisingekuwa tayari kumuachia ila pia kwa namna anavyochuna nisingeweza kuvumilia maumivu kwa muda mrefu. Mimi kwa ubahili wangu huwa hata nikilipia dawa pharmacy huwa roho inauma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom