Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Mkuu ndio wewe ambae ulikuwa best yake,baadae ukajazwa maneno demu anakupenda mtokeee ukajua kweli kidume ukapiga sound demu akakutosa na urafiki ukafa
Yule best yake namfahamu..alikuwa anambebea madesa na kumfanyia asignments za kule CASS wakati kidoti yupo kujirusha sasa mchizi akajituma kweli jamaa wakampamba akatokea akatolewa nje na urafiki ukafa..Mimi kidoti nilimuibukia pale block A CoET nikampa maneno ya hapa na pale nadhani na mambo mengine dem akavutiwa tukawa wala hatuendiendi mitoko kivileee..mambo yalikuwa ni jioni pale viwanja vya michezo vya chuo kisha tunaelekea zetu hom usiku tunapiga shule kimtindo ila shule yangu ilikuwa ngumu nikawa nasogeza mbele yeye anaishia kati..Kimtindo mitoko kidogo ila inaonekana dem alivutiwa ingawa nilikuwa sina title ila nilikuwa wa aina fulani hivi...Basi nikaona nimepata kifaa ila tulivyoingia sita kwa sita sasa dem shughuli anaiweza ila mmmmmh!!!!!!!!
 

Yani we ndo kima kabisa inaonesha akili huna!! huwez sema Diamond uwezo wake wa fikra hauvuki ngono na sifa il hali ndo msanii wa kwanza kuvuka boda kwa kiwango cha juu na kuwa hata insirational kwa wengine. Juz namsikia Chege kwenye interview anasema Diamond katufunua wasanii wengi sana. Jamaa yuko bright bwana!! mtu kua na akili si lazimanuende shule bwana. Wangap wana degree wako mtaan hawajafikiria hata kujiajir kwa kufungua ngo's etc. Respect Diamond anajituma bwana
 


Yawezekana nawewe upo ktk kundi la watu duni Kama yeye...

Hizo habari za akina chege na kuvuka boda mnaona ajabu na ni level ya mafanikio kwa wanaoishi ushenzini Kama nyie....
 
Yawezekana nawewe upo ktk kundi la watu duni Kama yeye...

Hizo habari za akina chege na kuvuka boda mnaona ajabu na ni level ya mafanikio kwa wanaoishi ushenzini Kama nyie....

Naposema kuvuka boda, namaanisha kuvuka boda kwa mafanikio ya muziki!! Angalia Diamond amejiwekea level kias kwamba hapelekeshw kama wasanii wengne na Clouds. angalia fiesta kafanya moja tu coz dau lake lipo juu... he is not cheap!! ndo mana hata prezdaa anampa support ni mfano wa kuigwa!! stop hating bro. Anyway ni mtazamo naheshim mtazamo wako pia!! na nashukuru kwa kutambua kua naish ushenzin lusungo
 
Last edited by a moderator:

Mfano Wa kuigwa kwenu mi nyimbo za kishenzi sinaga mda nazo sasa ukinambia mafanikio labda kwenu...

Siwezi kumhate diamond kwakua siko interested na chochote wala mwanamuziki yeyote wa bongofleva....

Hizo ni ishu zenu za maisha ya ushenzini....
 
Last edited by a moderator:

aliyekuambia hawa wanajiheshimu ni nani? vigezo vya kujiheshimu ni vipi?
 
Kweli mkuu PESA hata kina matumbo wanaweza kuziokota sio shule

Utafanya mbwembwe zote za dunia kwenye shule utasanda Sana

Mie elimu yangu ukiijua nikifika uko kijijini kwenu mama zako watanitandikia nipite juu ya vitenge vyao vya kuendea mjini kama Jesus wa Nazareth..... I'm a nigger with class,usitest dada yangu wala usilazimishe ligi hauniwezi kwa lolote shukuru jf unaweza pata ata nafasi ya kuongea na mimi .schupit fuul
 
Last edited by a moderator:


Kima Kama wewe elimu uipate wapi?

Ligi siwezi Fanya na alosto kachoka Kama wewe walio classic wanajulikana sio wewe mfua vyuma wa ludewa...

Wewe ni miongoni mwa watu duni Kama huyo star wako diamond
 

bora umemtukana yani huyu sijui lusungo ni mbipi wa wap sijui!! afu anajifanya high class kwel kwel!! eti watu wengne tunaish maisha ya ushenzin pesa tunazotafta ni za chakula, pombe na ngono!! dah!!
 
Last edited by a moderator:
Kima Kama wewe elimu uipate wapi?

Ligi siwezi Fanya na alosto kachoka Kama wewe walio classic wanajulikana sio wewe mfua vyuma wa ludewa...

Wewe ni miongoni mwa watu duni Kama huyo star wako diamond

okay kila ulilosema kuna siku uhenda litakuwa kweli endelea kuwanga... kwanza mie ata sikujui umetokea wapi maana inaelekea unanifatilia sana dadangu?
 
okay kila ulilosema kuna siku uhenda litakuwa kweli endelea kuwanga... kwanza mie ata sikujui umetokea wapi maana inaelekea unanifatilia sana dadangu?

Sina muda Wa kukufwatilia fukara Kama wewe...

Wengine hatuhitaji kukujua physically ili Ku describe ulivyo...

Comments zako na mwenendo mzima Wa chsngizi zako hapa zinaonesha wazi jinsi ulivyo duni....

Nyie ndo miongoni mwa wale watoto Wa ushenzini walokulia malezi ya kishenzi ya kutomjua baba kwa tabia chafu za mama zao kuchanganya hovyo wababa....

You are not my caliber na ndio maana sehemu kubwa ya jamii yako mnashabikia wasanii Wa jamii yenu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…