G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Yule best yake namfahamu..alikuwa anambebea madesa na kumfanyia asignments za kule CASS wakati kidoti yupo kujirusha sasa mchizi akajituma kweli jamaa wakampamba akatokea akatolewa nje na urafiki ukafa..Mimi kidoti nilimuibukia pale block A CoET nikampa maneno ya hapa na pale nadhani na mambo mengine dem akavutiwa tukawa wala hatuendiendi mitoko kivileee..mambo yalikuwa ni jioni pale viwanja vya michezo vya chuo kisha tunaelekea zetu hom usiku tunapiga shule kimtindo ila shule yangu ilikuwa ngumu nikawa nasogeza mbele yeye anaishia kati..Kimtindo mitoko kidogo ila inaonekana dem alivutiwa ingawa nilikuwa sina title ila nilikuwa wa aina fulani hivi...Basi nikaona nimepata kifaa ila tulivyoingia sita kwa sita sasa dem shughuli anaiweza ila mmmmmh!!!!!!!!Mkuu ndio wewe ambae ulikuwa best yake,baadae ukajazwa maneno demu anakupenda mtokeee ukajua kweli kidume ukapiga sound demu akakutosa na urafiki ukafa