Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

bora umemtukana yani huyu sijui lusungo ni mbipi wa wap sijui!! afu anajifanya high class kwel kwel!! eti watu wengne tunaish maisha ya ushenzin pesa tunazotafta ni za chakula, pombe na ngono!! dah!!

Huyo nayeye ndo walewale Wa ushenzini walokulia malezi ya kutomjua baba
 
Last edited by a moderator:

Hata said a kaloli Wimbo wake umepigwa mpaka hollwood kwani yeye si mtanzania
 
Hata said a kaloli Wimbo wake umepigwa mpaka hollwood kwani yeye si mtanzania

naposema kuvuka boda kwa kiwango cha juu naangalia persistence pia!! Diamond kamzidi Saida kimafanikio, inaweza kua imechangiwa na management coz Saida alitapeliwa na kina Muta but ndo hivo.. it is what it is...
 
Kabisa wanafumbua macho wanamkuta huyo chupi mkononi mwenzao basi kila nayewika wao wanajua ni jogoo tu

Ndo mfumo wao maisha kuzaliana kwa vigodoro na maisha ya mimba kukataliwa na baba kwa hiyo sehemu kubwa ya uhai wao huwa na chuki zinazowafanya wahisi na wengine wanachuki nao...

Ukifwatilia asilimia kubwa ya mashabiki Wa nyimbo za kipuuzi wanaishi maisha ya kishenzi.....
 
Nashangaa watu bwana ingekuwa ni wao wanaona mafanikio wakiambiwa eti haters

Mkuu hao ndo walewale wakukataliwa na baba wakakulia kwa Bibi...

90% ya maisha yao wanahangaikia kula...ngono...pombe...na miziki ya kishenzi...

Nimeusikia wimbo Wa mdogo wake domo anaomponda kakake ni ufedhuli na ufataani mtupu...
Ku deal na watu wa life style hiyo ni kazi nzito...

Mi nawadharau sana
 

Hilo ni kweli maisha ya uswazi ni majanga kwakweli hawa think beyond wakipata hela ni kubadilisha mademu pombe sifa za kijinga na skendo za kipuuzi uswahili mwingi na vigodoro hata uwaambie ukweli eti wanaonewa wivu kwa mafanikio sometimes shule inasaidia sasa wanafikiri ni kila kitu ama kweli maisha ya uswahili ni janga kweli
 

Mitoto ya ushenzini ndivyo ilivyo.....
 


nipeni namba zake na mimi bijarbu baht yng#
 

sikiliza we mbwiga.....sio tu nna shule yakutosha,makaratasi yake niliyonayo ni first class,profile yangu ni usipime. kipato kinanitosha sana,inshort maisha yangu nayoishi we utaishia kuyaota tu...alafu pamoja na yote ayo nnaishi maisha yangu to the fullest siigizi.....unapiga sana kelele hapa ila nakuhakikishia mi na wewe tukionana 121 hauna confidence ata ya kunisogelea achilia mbali kunisemesha...ndio maana nakwambia shukuru sana jf unaweza kuongea na mimi tena shukuru sana.

ok unasema mie natokea ushenzini,yer haujakosea sio natokea ushenzini bali umavini na niko proud sioni hatari,tuambie we umetokea chaka gani nchi hii? .. hakuna umavimavi nisioujua ss just imagine a nigga from uswazini ful maexposure ful unyama we skia tu huu muziki kama ulikuwa unapima..... sijakulia kota, washua walikuwa na maakili toka enzi izo wakajipanga uku ambapo leo mnapaita uswazi wakati wengine wakiwa kwenye makota na msajili. Dogo sku ingine usione watu wanajisocialize kwenye mitandao ukachukulia poa kila mtu. schupit!
 
Kweli mkuu PESA hata kina matumbo wanaweza kuziokota sio shule

Utafanya mbwembwe zote za dunia kwenye shule utasanda Sana

Hahahah mkuu hao kina matumbo ni wachawi si unajua wakinga kwa uchawi na hela zao ni za kichawi...
 
Last edited by a moderator:

we mkinga hilo povu lote la nini???

Hiyo inaitwa UKISKIA PAAAAAAA
 
we mkinga hilo povu lote la nini???

Hiyo inaitwa UKISKIA PAAAAAAA

Kaka nilifikiri tumeshamalizana kuhusu ishu mahakama ya kadhi,kumbe bado una dukuduku!? Turudi basi kule tukamalizane.
 
Huyo ni mpumbavu tu hapa JF hana lolote jinga fulani tu limepewa ukweli mipovu mimate na miudenda inamtoka.

umeshanitoa kwenye ignore list yako? hahaha unaniweka kwenye ignore list alafu unanifatilia.....usiidhulumu nafsi,matumbo haepukiki....kama vp mida coz nna presentation boardroom ya organisation kubwa sana napiga maandalizi final touches hapa,tunajenga nchi sunajua tena. pa1 sana!
 


Utajisemesha Sana we ni wale wale watoto Wa mama wasomjua baba...

Watu wenye exposure kubwa hawawezi poteza mda wao kutetea watu duni au kushabikia miziki ya kipuuzi na kishenzi...

Wewe ni duni utabaki kuwa duni naona unajipaisha kwa ngonjera za kikuda eti siwezi kusogelea ha ha ha namsogelea JK utakuwa wewe kima?

Maisha yamekupiga na akili huna na ndio maana huwezi fikiri nje ya kula...zinaa....pombe...na uchawi ...

Ndio maana watoto Wa zinaa wengi hata nyimbo na scandal zao hujawa na zinaa na ushenzi tupu... Na ndicho wapendacho...
 
kweli watu hatukatai km dai ana mafanikio ila hana hadhi ya AY au JIDE kulingan na mwenendo wake kila siku ujinga ujinga tu mi nahis ktk maisha yake hakufikiria kuja kua vile

Kabisa binamu yani yupo na mambo ya ajabu mno, mbona jide hajasoma lakini anaendesha maisha yake very classic kuliko hata wenye degree yani mpaka nashangaa kama kweli jide hana hata degree maana anaishi maisha ya kisomi mno , hanaga upumbavu yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…