sikiliza we mbwiga.....sio tu nna shule yakutosha,makaratasi yake niliyonayo ni first class,profile yangu ni usipime. kipato kinanitosha sana,inshort maisha yangu nayoishi we utaishia kuyaota tu...alafu pamoja na yote ayo nnaishi maisha yangu to the fullest siigizi.....unapiga sana kelele hapa ila nakuhakikishia mi na wewe tukionana 121 hauna confidence ata ya kunisogelea achilia mbali kunisemesha...ndio maana nakwambia shukuru sana jf unaweza kuongea na mimi tena shukuru sana.
ok unasema mie natokea ushenzini,yer haujakosea sio natokea ushenzini bali umavini na niko proud sioni hatari,tuambie we umetokea chaka gani nchi hii? .. hakuna umavimavi nisioujua ss just imagine a nigga from uswazini ful maexposure ful unyama we skia tu huu muziki kama ulikuwa unapima..... sijakulia kota, washua walikuwa na maakili toka enzi izo wakajipanga uku ambapo leo mnapaita uswazi wakati wengine wakiwa kwenye makota na msajili. Dogo sku ingine usione watu wanajisocialize kwenye mitandao ukachukulia poa kila mtu. schupit!