Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kabisa binamu yani yupo na mambo ya ajabu mno, mbona jide hajasoma lakini anaendesha maisha yake very classic kuliko hata wenye degree yani mpaka nashangaa kama kweli jide hana hata degree maana anaishi maisha ya kisomi mno , hanaga upumbavu yule
Shule nzuri we kima huwezi fananisha MTU duni Kama Diamond na aliyekwenda shule....
HELA NYINGI HATA KICHAA ANAWEZA KUBAHATIKA AKAOKOTA.....HATA HAYAWANI ANAWEZA KUMILIKI ILA SIO SHULE.....
SI KILA MTU ANAUWEZO WA KWENDA SHULE NA HAPO NDO TOFAUTI ILIPO...
Binafsi nilimdharau Sana kutembea na MTU duni Kama diamond ambae upeo wake Wa fikra hauvuki mizani ya ngono na Sifa....
HATA WATU WANAOSIKILIZA NYIMBO NA KUFWATILIA MAMBO YAKE HUWA NAWADHARAU SANA.....
Diamond ni kichwa Mara 100 zaidi yako.
wewe ndio wema nini? Umeamua kuvamia Jf kumtetea bwana wako..karibu sana Jf Wema
Ha ha ha naona anatetea usingizi wake
Mimi sio kwamba namtetea diamond ila Tz ni nchi ya ajabu anatokea mwanamuziki kama diamond ambaye anautangaza music mpaka marekani lakini hapa Tz watu wanamchukia wanatani hata aache mziki.tunashindwa hata na wakenya.kwenye account ya instagram ya Uhuru Kenyatta anawafollow watu 16 tu huku lupita nyongo akiwa mmojawapo na kila mara anamrusha kwenye post zake.tanzania hatuna staa yeyote wa kutufanya tujivunie kimataifa.ndio maana diamond anavyoanza kuja juu tumsapoti

kweli watu hatukatai km dai ana mafanikio ila hana hadhi ya AY au JIDE kulingan na mwenendo wake kila siku ujinga ujinga tu mi nahis ktk maisha yake hakufikiria kuja kua vile
Diamond ni kichwa Mara 100 zaidi yako.
Ni kichwa kwenu mnaokua hovyo hovyo Kama michicha na mibuyu inayojiotea hovyo huko majaani....
Ni kichwa kwenu ambao maisha yenu huko kwenye inzi ni kuwaza juu ya chakula...ngono....pombe....na miziki yenu mnayosikilizia kwenye bodaboda na simu za michina....
Ni kichwa kwenu ambao ndege na ulaya ni misamiati mizito Sana kwenu kwa kuwa vichwa vyenu vina usaha
ahahaha ahahah!! Boss wao wa tandale kapanda ndege kwenda ulaya basi wanaona fahari kweli
Kabisa binamu yani yupo na mambo ya ajabu mno, mbona jide hajasoma lakini anaendesha maisha yake very classic kuliko hata wenye degree yani mpaka nashangaa kama kweli jide hana hata degree maana anaishi maisha ya kisomi mno , hanaga upumbavu yule
Jide na AY hata Kama hawakusoma au kukulia kwenye raha utofauti wao ni kwamba wamekulia kwenye maisha ya kistaarabu...
Unakuta MTU wazazi ni masikini lakini wanaishi kistaarabu Sana mtoto anakuzwa kuujua na kuuishi ustaarabu...heshima..upendo...adabu na nidhamu...
Unaishi maisha ya Amani na utulivu japo Una dhiki...
Sasa watu Kama kina DIAMOND ndo wale Wa maisha ya kishenzi huna baba anaefahamika....toka unakua mama anakufundisha kumtukana baba na kumchukia kwakua alikataa mimba...
Wizi wizi na udokozi...kukosa control kiasi cha kujiamulia mambo ktk umri mdogo n.k n.k
Hizi ndo type za akina matumbo
Wanajikulia tu Kama michicha ya jalalani
Wakiokota PESA inakua shida wanatamani kila MTU awaamkie kana kwamba wasiosikika redioni Kama wao maisha yamewashinda...
Watoto Wa fungulia mbwa ni shidaaaa
kweli kabisa na mara nyingi sisi hohehahe tukiibuka tunasumbua sana

Acha kabisa ukiwakuta kwenye vijiwe vyao vya bodaboda kutwa kucha ni habari za ndege ya diamond Mara katangaza mziki kimataifa...
Binamu hivi ushawahi oneshwa video yoyote ya show anazofanya huyo kima nje ya nchi??
Wanakazana kusema big boss wakati kuna watumishi humu maofisini wanawakata mademu zao kimya kimya...
Kuna demu simtaji kagongwa pale new Africa hotel kwa hongo ya elf 50 halafu kesho wakirusha picha insta vichwa maji wanaanza kuwapamba...
Mmh nakumbuka tu ile show aliyofanyiaga congo ndo walionyesha clouds Tv , hizo show za ulaya kwa kweli naonaga matangazo tu instagram ila sikumbuki kama alishawahi kutuonyesha mashabiki wa uko ulaya wanavyojazana kwenye show yake na MAPOKEZI YA AIRPORT akifika uko ulaya hata hatujui yanakuwaje, hatujui MASHABIKI WA ULAYA WANAVYOMPOKEA AKITUA ULAYA wala show za aina yeyote
Nakumbuka tu jinsi akina nelly na chriss brown walivyomuomba namba za simundomo( kwa mujibu wa global) na kumshobokea kwa madai ya magazeti ya shigongo
Ha ha ha ntakutumia video whatsapp uone watu wanavyopiga show sebuleni mwa watu na kwenye vichochoro