Jide na AY hata Kama hawakusoma au kukulia kwenye raha utofauti wao ni kwamba wamekulia kwenye maisha ya kistaarabu...
Unakuta MTU wazazi ni masikini lakini wanaishi kistaarabu Sana mtoto anakuzwa kuujua na kuuishi ustaarabu...heshima..upendo...adabu na nidhamu...
Unaishi maisha ya Amani na utulivu japo Una dhiki...
Sasa watu Kama kina DIAMOND ndo wale Wa maisha ya kishenzi huna baba anaefahamika....toka unakua mama anakufundisha kumtukana baba na kumchukia kwakua alikataa mimba...
Wizi wizi na udokozi...kukosa control kiasi cha kujiamulia mambo ktk umri mdogo n.k n.k
Hizi ndo type za akina
matumbo
Wanajikulia tu Kama michicha ya jalalani
Wakiokota PESA inakua shida wanatamani kila MTU awaamkie kana kwamba wasiosikika redioni Kama wao maisha yamewashinda...
Watoto Wa fungulia mbwa ni shidaaaa