Ha ha ha ha binamu unaishi wapi lakini? Tangazo liliwekwa mpaka humu jf mama ubaya anatangaza WTF yaani whatsapp...twitter na Facebook bure kwa AIRTEL nashangaa wamelitoa ghafla
tangazo limetolewa maana mama domo kazidi makashfa ya ngono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha binamu unaishi wapi lakini? Tangazo liliwekwa mpaka humu jf mama ubaya anatangaza WTF yaani whatsapp...twitter na Facebook bure kwa AIRTEL nashangaa wamelitoa ghafla
heheeh uyu dada nilijuaga hajaseto kuna siku nilikutana nae movies pale m.cty nilikaa nae karibu..Siyo now days ni tangu zamani ila hatukupata fursa ya kumjuwa vizuri, haka kademu hakuweza kuivalue thamani yake sasa hivi hana tofauti na wale wa vigodoro.