Bazobonankira Senior Member Joined Jan 18, 2007 Posts 120 Reaction score 61 Jul 16, 2009 #21 HAkika mashairi yako yananimaliza kwelikweli.... Lol!! Nilikuwa sijaona hili Hongera sana
Bazobonankira Senior Member Joined Jan 18, 2007 Posts 120 Reaction score 61 Jul 16, 2009 #22 Haswa hapa... "Penzi la kumegeana, la sirini kuitana, Penzi la kukimbizana, la mwingine kugawana,"
N Nyauba JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 1,098 Reaction score 109 Jul 16, 2009 #23 Mwkjj unagusa nyoyo kwa lugha ya ushairi yenye maudhui sawia na hali ya mambo katika mapenzi kwa uhalisia wake. Jitihada njema muhimu kuzithamini kwa uendelevuu wa jamii boraa.. hongera sana..
Mwkjj unagusa nyoyo kwa lugha ya ushairi yenye maudhui sawia na hali ya mambo katika mapenzi kwa uhalisia wake. Jitihada njema muhimu kuzithamini kwa uendelevuu wa jamii boraa.. hongera sana..