~~Penzi la Kumegeana~~

~~Penzi la Kumegeana~~

HAkika mashairi yako yananimaliza kwelikweli.... Lol!! Nilikuwa sijaona hili

Hongera sana
 
Haswa hapa...

"Penzi la kumegeana, la sirini kuitana,
Penzi la kukimbizana, la mwingine kugawana,"
 
Mwkjj unagusa nyoyo kwa lugha ya ushairi yenye maudhui sawia na hali ya mambo katika mapenzi kwa uhalisia wake.

Jitihada njema muhimu kuzithamini kwa uendelevuu wa jamii boraa..

hongera sana..
 
Back
Top Bottom