ben milazo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 995
- 674
Hashindwi kituAiseeee
Warumi nakuona unakula tu ubuyu
Hilo shamba atawalimisha misukule maana huyu gagula anapenda sana short cutlulu saizi naskia kanunua shamba la mihogo aanze kulima maana hana jinsi sponsor kacholopokaaa pabaya
Jamani hizi Habari zinatoka wapiinasemakana eti amedakwa na hirizi inahema,
wanawake wa mjini mmekuwa wachawi sana kuliko hata wabibi wa kijijini
Habar ndo hiyo'asemekana... '!!!!
hahahahaha hapo napoSi aliimeza umeipata wapi?
sio delicious ni dullawarumi eee msalimie delicious.
daah tunguli tena ..ngoja nichukue details za kutosha kwa hamisa mobetoAaaaaah, hirizi inahema? Loooh mtoto hafai Yule, ukikaona kadogo ila kwa uchawi hakajambo, unadhani mpaka kaangukia kwa CEO mchezo? Watu wanajilipua
sio delicious ni dulla
si ndio lile dulla mchicha mchicha la insta wewe lifatilie vizuri chaaaafu halafu linajifanya linajua watudula tena nayeye ni mchicha mchicha
H DrLile penzi mubashara kati ya staa wa filamu nchini, Lulu Michael na Mkurugenzi wa E-fm maarufu kama Majizo, linadaiwa kuingia kidudu mtu.
Za kunyapia nyapia zinadai eti bibie huyo anatuhumiwa kujihusisha na imani za kishirikina. Hata hivyo chanzo kamili cha wawili hao kuwa katika hali ya sintofahamu bado hakijajulikana ila wawili hao sasa hivi hawakai zizi moja kama zamani.
Mie siaona uzuri wa kale katoto kwa kweli.Inawezekana kweli kanatumia ndumba nangai.Hata mkononi hakajai unaanzaje kwanza kukatongozaAaaaaah, hirizi inahema? Loooh mtoto hafai Yule, ukikaona kadogo ila kwa uchawi hakajambo, unadhani mpaka kaangukia kwa CEO mchezo? Watu wanajilipua