Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

lulu saizi naskia kanunua shamba la mihogo aanze kulima maana hana jinsi sponsor kacholopokaaa pabaya
 
Aaaaaah, hirizi inahema? Loooh mtoto hafai Yule, ukikaona kadogo ila kwa uchawi hakajambo, unadhani mpaka kaangukia kwa CEO mchezo? Watu wanajilipua
daah tunguli tena ..ngoja nichukue details za kutosha kwa hamisa mobeto
 
Lile penzi mubashara kati ya staa wa filamu nchini, Lulu Michael na Mkurugenzi wa E-fm maarufu kama Majizo, linadaiwa kuingia kidudu mtu.

Za kunyapia nyapia zinadai eti bibie huyo anatuhumiwa kujihusisha na imani za kishirikina. Hata hivyo chanzo kamili cha wawili hao kuwa katika hali ya sintofahamu bado hakijajulikana ila wawili hao sasa hivi hawakai zizi moja kama zamani.
H Dr
 
Aaaaaah, hirizi inahema? Loooh mtoto hafai Yule, ukikaona kadogo ila kwa uchawi hakajambo, unadhani mpaka kaangukia kwa CEO mchezo? Watu wanajilipua
Mie siaona uzuri wa kale katoto kwa kweli.Inawezekana kweli kanatumia ndumba nangai.Hata mkononi hakajai unaanzaje kwanza kukatongoza
 
Back
Top Bottom