PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]walikuwa mezani wanakula akapaliwa na chakula ndipo akatapika boonge la hirizi linahema, inasemekana lakini.
Duh!!!Haka katoto nuksi kweli kwa ushirikina maana ugomvi wake siku ile na Marehemu ilikuwa hayo hayo mambo ya hirizi..
Kitu kilikuwa kinapumua.
Ohooooo!!!Bora majizzo kapona hajafa...maana kale kanuksi kake si kazuri
. 😀😀😀😀😀😀walikuwa mezani wanakula akapaliwa na chakula ndipo akatapika boonge la hirizi linahema, inasemekana lakini.
lulu ananyota mbaya so ukitoka na lulu kama hujafa police watakusumbua sana inabidi akaoge maji ya bahari katikati kabisaLile penzi mubashara kati ya staa wa filamu nchini, Lulu Michael na Mkurugenzi wa E-fm maarufu kama Majizo, linadaiwa kuingia kidudu mtu.
Za kunyapia nyapia zinadai eti bibie huyo anatuhumiwa kujihusisha na imani za kishirikina. Hata hivyo chanzo kamili cha wawili hao kuwa katika hali ya sintofahamu bado hakijajulikana ila wawili hao sasa hivi hawakai zizi moja kama zamani.
Angejua nina new model wireless asingepata shida yote hiiinasemakana eti amedakwa na hirizi inahema,
wanawake wa mjini mmekuwa wachawi sana kuliko hata wabibi wa kijijini
Hirizi nduguBora majizzo kapona hajafa...maana kale kanuksi kake si kazuri
Duh!!!kumbe kachawi kalitaka kumgeuza jamaa ndondocha nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ohooo
. 😀😀😀😀😀😀
Nakuona nakuonaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa nyie kwani lulu mlijua sku zote apate mabwana wenye pesa tu ye K yake ina signature ya Balali au kitu gani?
AHAHAHHAHAHAHHAHAHHAHA
Mpaka aje nifah mama ubuyu ndiyo nitaamini
Angejua nina new model wireless asingepata shida yote hii
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji3]Aisee akija kwako mtaalam mbadilishie na miez ya mikosi yeye april tu ndio wanaanguka
Hhahahahha mkuu warumi natamani niijue gender yako aiseee!!! umemshinda hadi soud brown kwa umbea