Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

Lile penzi mubashara kati ya staa wa filamu nchini, Lulu Michael na Mkurugenzi wa E-fm maarufu kama Majizo, linadaiwa kuingia kidudu mtu.

Za kunyapia nyapia zinadai eti bibie huyo anatuhumiwa kujihusisha na imani za kishirikina. Hata hivyo chanzo kamili cha wawili hao kuwa katika hali ya sintofahamu bado hakijajulikana ila wawili hao sasa hivi hawakai zizi moja kama zamani.
lulu ananyota mbaya so ukitoka na lulu kama hujafa police watakusumbua sana inabidi akaoge maji ya bahari katikati kabisa
 
Hao wawili tangu wameanza kuzushiwa kuachana wala hawaachani...Huu ni uzushi tu.Kama ni ushirikina hilo analijua muna kistuli.
 
Hhahahahha mkuu warumi natamani niijue gender yako aiseee!!! umemshinda hadi soud brown kwa umbea
d48eb6e82a4a99e724721141c26739ed.jpg
ad8ca981278899f4887fb588d17aa0db.jpg
 
Back
Top Bottom