hahahaha maweeinasemakana eti amedakwa na hirizi inahema,
wanawake wa mjini mmekuwa wachawi sana kuliko hata wabibi wa kijijini
[emoji15] .....Toba.....[emoji87]Haka katoto nuksi kweli kwa ushirikina maana ugomvi wake siku ile na Marehemu ilikuwa hayo hayo mambo ya hirizi..
Kitu kilikuwa kinapumua.
walikuwa mezani wanakula akapaliwa na chakula ndipo akatapika boonge la hirizi linahema, inasemekana lakini.
heeee sikuwahi kuyajua haya
wavijijini ni zaidiii....🙄🙄🙄🙄🙄inasemakana eti amedakwa na hirizi inahema,
wanawake wa mjini mmekuwa wachawi sana kuliko hata wabibi wa kijijini
Ohoooo!!!heeee sikuwahi kuyajua haya
Itakuwa walimtegeshea kwenye chakula, ikashindwa kupita. Hana uchawi wa hivyo, uchawi ni mwili wake na sura yake.walikuwa mezani wanakula akapaliwa na chakula ndipo akatapika boonge la hirizi linahema, inasemekana lakini.
wavijijini ni zaidiii....🙄🙄🙄🙄🙄
Hatari sana hiiDuh!!!
Ohooooo!!!
Achana nao na hata ya watu wengine yaache usijiumize kichwa chako!Lile penzi mubashara kati ya staa wa filamu nchini, Lulu Michael na Mkurugenzi wa E-fm maarufu kama Majizo, linadaiwa kuingia kidudu mtu.
Za kunyapia nyapia zinadai eti bibie huyo anatuhumiwa kujihusisha na imani za kishirikina. Hata hivyo chanzo kamili cha wawili hao kuwa katika hali ya sintofahamu bado hakijajulikana ila wawili hao sasa hivi hawakai zizi moja kama zamani.
Itakuwa walimtegeshea kwenye chakula, ikashindwa kupita. Hana uchawi wa hivyo, uchawi ni mwili wake na sura yake.
Ohooooo......[emoji15] [emoji15] [emoji15]Angejua nina new model wireless asingepata shida yote hii
Maisha magumu kaka!! [emoji3][emoji3]inasemakana eti amedakwa na hirizi inahema,
wanawake wa mjini mmekuwa wachawi sana kuliko hata wabibi wa kijijini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] wirelessAngejua nina new model wireless asingepata shida yote hii
Mwacheni atafute tiba mbadala jamani aliyopitia na anayosemwa nayo yanaweza kumuumiza yeyoteMahusiano ya mastaa yakivurugika ata sishangai!
Ila hiyo ya Lulu na matunguli niliwai isikia, sidhani kama ni kweli. Si walisema kua kila mwanaume anaelala nae anakufa kwa sababu ya Kanumba na Komba!