Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

d48eb6e82a4a99e724721141c26739ed.jpg
ad8ca981278899f4887fb588d17aa0db.jpg
heeee sikuwahi kuyajua haya
 
Ila huyu hana nyota ya kudumu na mwanaume kabisaaa.... Ana nyota ya ujane[emoji23][emoji23][emoji23] sahivi naona kaongeza nyingine ya ushirikina[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
walikuwa mezani wanakula akapaliwa na chakula ndipo akatapika boonge la hirizi linahema, inasemekana lakini.
Itakuwa walimtegeshea kwenye chakula, ikashindwa kupita. Hana uchawi wa hivyo, uchawi ni mwili wake na sura yake.
 
Lile penzi mubashara kati ya staa wa filamu nchini, Lulu Michael na Mkurugenzi wa E-fm maarufu kama Majizo, linadaiwa kuingia kidudu mtu.

Za kunyapia nyapia zinadai eti bibie huyo anatuhumiwa kujihusisha na imani za kishirikina. Hata hivyo chanzo kamili cha wawili hao kuwa katika hali ya sintofahamu bado hakijajulikana ila wawili hao sasa hivi hawakai zizi moja kama zamani.
Achana nao na hata ya watu wengine yaache usijiumize kichwa chako!
 
Mahusiano ya mastaa yakivurugika ata sishangai!
Ila hiyo ya Lulu na matunguli niliwai isikia, sidhani kama ni kweli. Si walisema kua kila mwanaume anaelala nae anakufa kwa sababu ya Kanumba na Komba!
 
Mahusiano ya mastaa yakivurugika ata sishangai!
Ila hiyo ya Lulu na matunguli niliwai isikia, sidhani kama ni kweli. Si walisema kua kila mwanaume anaelala nae anakufa kwa sababu ya Kanumba na Komba!
Mwacheni atafute tiba mbadala jamani aliyopitia na anayosemwa nayo yanaweza kumuumiza yeyote
 
Back
Top Bottom