Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

Maisha ya Kiswahili, kufuatilia waswahili kiswahili
 
Umenichekesha eti signature ya Balali
enh sa kumbe kitu gani we utoe huyu uingie huyu ,ndo labda yake IMEPIGWA CHAPA KWA MATUMIZI HALALI YA WENYE HELA!
huyo wema na umaaufu wote tokea alivompata CK hajapata tena mwanaume wa maana
sasa lulu
komba,kanumba(kanumba kipindi anakufa was in his peak days in everything)
seti sijui nani yule wa goba
haya huyu majizzo(haijalishi za ngada au za nini ila anazo)

hawa wote wanavyutwa na ule ufupi na kamwili ka kitoto au?
si wangedate watoto wa darasa la II B?
 
Lol. Kwahiyo zile kuokoka nyingi alikua location au? Maana wasanii wetu muda wote wako location.
Ila kama kweli namuhurumia aiseee. Miaka 23 ana enda kuroga akifika miaka 40 si atakua anapaa na ungo kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…