Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Kabisa atiii[emoji28][emoji28] na wapenzi wake wanakufaga mwezi wa nne... Sijui ndo kafara yake[emoji23][emoji23] Majizo kashtuka mapemaaaa[emoji4][emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa atiii[emoji28][emoji28] na wapenzi wake wanakufaga mwezi wa nne... Sijui ndo kafara yake[emoji23][emoji23] Majizo kashtuka mapemaaaa[emoji4][emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh hatari sanaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]hirizi hii hapa
Jamaa unaua vibaya, daaah.
Umenichekesha eti signature ya Balalisasa nyie kwani lulu mlijua sku zote apate mabwana wenye pesa tu ye K yake ina signature ya Balali au kitu gani?
AHAHAHHAHAHAHHAHAHHAHA
Maisha ya Kiswahili, kufuatilia waswahili kiswahiliLile penzi mubashara kati ya staa wa filamu nchini, Lulu Michael na Mkurugenzi wa E-fm maarufu kama Majizo, linadaiwa kuingia kidudu mtu.
Za kunyapia nyapia zinadai eti bibie huyo anatuhumiwa kujihusisha na imani za kishirikina. Hata hivyo chanzo kamili cha wawili hao kuwa katika hali ya sintofahamu bado hakijajulikana ila wawili hao sasa hivi hawakai zizi moja kama zamani.
Tuambie ulichokikutaNdukiiiiiii to lulu instaaaaaaaa
Ataimezaje hiyo yote mzee! Mbona haipiti kweny Koromeo?[emoji23] [emoji119]hirizi hii hapa
Nimejikuta kumbe majizo account kaweka privateTuambie ulichokikuta
Hahahaha [emoji23] [emoji23]walikuwa mezani wanakula akapaliwa na chakula ndipo akatapika boonge la hirizi linahema, inasemekana lakini.
Ataimezaje hiyo yote mzee! Mbona haipiti kweny Koromeo?[emoji23] [emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]le mutuz anameza heroin kete 30 sembuse lulu kumeza haka kahirizi kamoja
enh sa kumbe kitu gani we utoe huyu uingie huyu ,ndo labda yake IMEPIGWA CHAPA KWA MATUMIZI HALALI YA WENYE HELA!Umenichekesha eti signature ya Balali
daaah! Yaaani we jamaa umenifanya nicheke sanaa! Et inahema.inasemakana eti amedakwa na hirizi inahema,
wanawake wa mjini mmekuwa wachawi sana kuliko hata wabibi wa kijijini
Daa. .jamani mu oneeni huruma sio kweli.walikuwa mezani wanakula akapaliwa na chakula ndipo akatapika boonge la hirizi linahema, inasemekana lakini.
Kale ka-toto kanajua mambo usiyoweza kuyafahamu mkuu.Du kale katoto tunguli kametoa wapi