Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

Watakuwa wanavutwa na sura yake. Yuko vizuri. Ila wanaume wengine wana Kasumba ya kupenda watu wenye.jina. wanajihisi vidume. Wala hakuna.sababu nyingine.
 
Watakuwa wanavutwa na sura yake. Yuko vizuri. Ila wanaume wengine wana Kasumba ya kupenda watu wenye.jina. wanajihisi vidume. Wala hakuna.sababu nyingine.
Lulu ni mzuri kwa kweli na ni maarufu ila kuna wazuri kumzidi so anachofanya ni kujiongeza kidogo kwa kina karumange mwaigo
 
Ndiyo mlipigwa ndumba mkasahau kesi
 
Na yule seki mfanya biashara wa madini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…