warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Habari zinazoenea kwa kasi chini ya kapeti kuhusu staa wa filamu nchini, Elizabeth michael aka Lulu hivi karibuni kushushiwa kipigo "heavy" na mpenzi wa sasa ambaye pia ni mmliki wa radio maarufu mjini, Efm aitwaye majizo. Inasemekana staa huyo amekua akichepuka kwa siri na watu tofuati tofauti ambapo ikafikia hatua mpaka sponsor wake huyo kugundua na kumshushia kipigo cha mwizi kwenye hotel maarufu mjini(jina kapuni) ambapo wawili hao walienda kula bata.
Hata hivyo inasemekana majizzo amekua akipokea shutuma mbali mbali kuhusu baby wake huyo kuwa anachepuka na watu tofauti tofauti bila yeye kujua, lakini kijana huyo mwenye pesa chafu amekua akifumbia macho tuhuma hizo na kudai kuwa ni njama tu za maadui zao za kutaka kuwachonganisha waachane. Inasemekana Lulu kwa sasa anachepuka na rafiki wa karibu wa majizo( jina kampuni) ambaye inasemekana anafanya kazi BOT ambaye inasemekana Ana pesa chafu kumzidi kijana hyo.