Penzi la Mama Diamond (Bi Sandra) na Mr. Shamte limefikia wapi?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Aisee nimejaribu kufatilia mapenzi yao kwa muda mrefu lakini nimeambulia patupu.

Anayejua aniambie ile couple iliyotikisa kati ya Bi Sandra na kiben ten chake Mr Shamte imefikia wapi? Kwa maana muda mrefu sijawaona pamoja wala zile mbwe mbwe zao sizisikii tena ,nimejaribu kufatilia kwa watu wa karibu wa bi Sandra nao hawajanipa majibu ya kuridhisha.


Vipi na ile mimba yake aliitoa au alikuwa anatuzingua tu?
Kikubwa tunachotaka kukiona kutoka kwao ni ndoa tu ili wahalalishe mapenzi yao pia ramadhani inakaribia hii wakiishi bila kuoana watakosa thawabu nyingi.
 
Hance Mtanashati is officially not a gentleman. Huyu ni aina ya wavulana wenye miaka 37 halafu chupi ananunuliwa na mama.
Real man hana muda wa kumfuatilia mama diamond, real man anafuatilia hela, anawaza hela, ananusa hela zilipo usiku na mchana
Kweli kabisa Mkuu!
Huwezi kuwa Mwanaume uliyekamilika eti linafuatilia mapenzi ya watu!
Aibu sana
 
Hivi kweli mama dai hajajifungua kweli? Maana familiya nzima ni mapenzi, kuna picha niliona kavaa kimini dah, na alivyo na guu la bia, nilicheka sana.
 
Naona umeuwasha moto, tangia jana hatupumui kwa misridi yako ya kimbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…