Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Aisee nimejaribu kufatilia mapenzi yao kwa muda mrefu lakini nimeambulia patupu.
Anayejua aniambie ile couple iliyotikisa kati ya Bi Sandra na kiben ten chake Mr Shamte imefikia wapi? Kwa maana muda mrefu sijawaona pamoja wala zile mbwe mbwe zao sizisikii tena ,nimejaribu kufatilia kwa watu wa karibu wa bi Sandra nao hawajanipa majibu ya kuridhisha.
Vipi na ile mimba yake aliitoa au alikuwa anatuzingua tu?
Kikubwa tunachotaka kukiona kutoka kwao ni ndoa tu ili wahalalishe mapenzi yao pia ramadhani inakaribia hii wakiishi bila kuoana watakosa thawabu nyingi.